Mtambuzi mbona wivu hivyo wakati uzee umeshakukaa hadi kwenye kope? Huyu binti niko naye sana kama mahali umeshakula si kwa ajili yake labda kwa binti mwingine kwani mimi na yeye tumekubaliana hadi 2015 baada ya kuingia Ikulu. Jiandae kwa sasa. Nakutakia sikukuu njema.Haya umeshashukuru imetosha, usijeendeleza mawasiliano kwa PM, mie nshakula mahari yangu na sitaki migogoro kwenye ndoa ya binti yangu King'asti.....................
Hata mimi nimemshtukia Asprin huyo. Mnaa kweli huyu binti yangu ila nitamuandalia zawadi yake tu asihofu.
Ahsante sana mke wa ujana wangu, hebu msome huyu mnaa hapa chini ananiita eti mie binti...
Haya umeshashukuru imetosha, usijeendeleza mawasiliano kwa PM, mie nshakula mahari yangu na sitaki migogoro kwenye ndoa ya binti yangu King'asti.....................
Ahsante sana mke wa ujana wangu, hebu msome huyu mnaa hapa chini ananiita eti mie binti...
Ime expiyaje wakati umejiunga JF juzi tu.
Mbona mi yakwangu sijawahi i-renew?