Nchi ikiwa na mchanganyiko hupendeza sana, ndio maana ukifika Marekani unakutana na kila MMEA WA BINADAMU, yaani unakutana na mtu anatisha balaa, mwingine wa kawaida, mwingine mzuri balaa, halafa anakuja tena mzuriii, ukisema umemaliza unashangaa unakutana na kitu hadi unajiuliza ni cha hapahapa au kimushuka tu. Yote hii ni kwasababu ya michanganyiko ya wa latino, ulaya,Asia, Arabs, Africa na hata wandengereko.
Kwa hiyo tunaishukuru serikali hii ya Mama yetu kwa kuanza na hawa wa Sudan, japo tumechelewa sana. Niombe tu mawasiliano yafanyike pia sehemu zingine kama Ethiopia, Eritrea, Brazil. Pia tuangalie uwezekano wa kutoa scholarship kwa Rwanda .
Kama Nyerere alivyofanikiwa kuchanganya makabila yetu tukazaana vinginevyo ungekuta leo kuna jamii wote ni weusi tiiii, au jamii fulani wote ni wabishi tu