Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,830
- 972
Mtanzania, ungana nami kusherehekea mafanikio katika sekta ya usafiririshaji ambayo haya ni maendeleo ya vitu yanayochochea maendeleo ya watu.
Serikali ya awamu ya tano inaleta meli kubwa ya kisasa iitwayo Mv Amani ambayo itafanya safari zake katika ziwa Tanganyika na hivyo kuwa msaada mkubwa kwa ndugu zetu wa Kigoma.
Meli hiyo inauwezo wa kubeba abiria 600, magari 50 na mizigo tani 3500. Hongera Sana serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Magufuli.
#maendeleohayanavyama