Asante Magufuli: MV Amani yaanza majaribio ziwa Tanganyika

Asante Magufuli: MV Amani yaanza majaribio ziwa Tanganyika

Kibaraka wenu juzi ukerewe alipanda ngalawa almanusura limbwage chini akaanza kulia nakusema akipewa urais nayeye ata jenga kivuko uk.
Thibitisha. Vinginevyo utapuuzwa wewe pamoja na hoja yako.
 
Acha mbwembwe mkuu. Tarehe 28 kamchague mzalendo namba moja na wagombea wa CCM kazi iendelee

Hatutaki Ndege, Barabara, flyovers, stiegller gorge nk vya masimango huku tukizibwa midomo na kubambikiziwa kesi tukiuliza wapi sh trilioni 1.5 zetu zilipelekwa, tukiuliza uwanja wa chato ulijengwa kwa idhini ya nani na kwa sh ngapi isiwe ni hatia, tunataka kwanza haki, uhuru ndipo maendeleo (majority people centred developments) na sio minority au individual centred developments kama kununua ndege na kujenga uwanja wa ndege wa Chato.

Hizo ndege za Magu zinatakiwa ziuzwa na pesa yake itumike kujenga miradi ya maji nchi nzima hadi huko chato ambapo leo hii hakuna maji ya bomba lakini kuna uwanja wa ndege wa kumpeleka Magu kula Chrismass na Mkewe.
 
Lazima ujue hizo zilikuwa ni Kura za maoni za CCM na sio kura za uchaguzi mkuu. Ndani ya CCM yenyewe kuna figusi kibao katika kura zenu za maoni, msilogwe figusi hizo kuzileta katika uchaguzi mkuu, Mind you, The hague is awaiting for the would be election Culprits.
Ndio zilikuwa kura za maoni lakini kuna mfanano na uchaguzi huu
 
Asante ya nini?!Hii nchi imejaa mazuzu kila kona.Yaani mtu anatimiza wajibu wake kama Rais kupitia kodi zetu halafu unakuja kujinasibu hapa asante Rais?Kwani hatumlipi mshahara kwa kazi anazofanya?
 
Ndio zilikuwa kura za maoni lakini kuna mfanano na uchaguzi huu

Hatutakubali mlete figusi zenu za kunyonga wagombea waliopita katika chaguzi zenu mlete figusi za kunyonga uchaguzi mkuu ujao, kitanuka.--- ala ala mti na jicho, ala ala uchaguzi na amani yetu, hii nchi sio ya CCM, ni nchi ya watz wote 55 million na wengi wao hawana vyama. Kumbukeni hilo, atakaye shinda kihalali "principle" inataka atangazwe na apewe haki ya kuongoza, vinginevyo uchaguzi hautakuwa na maana yoyote na ni hadaa, kupoteza fedha na muda bure.
 
Back
Top Bottom