Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,535
- 14,840
Aya..Soma vizuri na ukae kwa kutulia. Niliuliza kwanza na sikujampu into kunklusheni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aya..Soma vizuri na ukae kwa kutulia. Niliuliza kwanza na sikujampu into kunklusheni
Haya mkuu tuko pamojaAya..
hii habari niliisoma huko mitandaoni na wamesema hiyo meli inatokea Congo kuja kigoma na itapokelewa na mkuu wa mkoa wa kigoma lakini hawakusema imenunuliwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe tafuta kuwa na hamu ya wanaume tu! Haya mengine yamekuzidiHatutaki Maendeleo ya vitu. Tunataka Maendeleo ya watu! Mbona hamsikii?
Hahahhaha... Mmepanic ee? Na bado,!Meli ya DRC hiyo ujinga mzigo mkuu. Wanajichekeleaha wamezoea uongo sana kila kitu kudanganya watu. Wanatafuta kura za waha. CCM na Uongo ni kama mpira na upepo.
Mkuu achana nae huyo dadako hana hamu na wanaume mwenyewe kajisemeaOnce you stop from being less you will start to understand and eventually u will impress
Unabetua betua viuno humu kwamba selikali hakuna ilichofanya huwa unataka ikufanyie nini labda?Asante ya nini?!Hii nchi imejaa mazuzu kila kona.Yaani mtu anatimiza wajibu wake kama Rais kupitia kodi zetu halafu unakuja kujinasibu hapa asante Rais?Kwani hatumlipi mshahara kwa kazi anazofanya?
Kiingereza kimekukataa kabisaOnce you stop from being less you will start to understand and eventually u will impress
Ujinga huu tumefikia hatua yakujisifia vyawatu ?Mitano tena, viva magufuli
😂😂😂Mkuu achana nae huyo dadako hana hamu na wanaume mwenyewe kajisemea
Kama watanzania walivyomkataa mbelgiji na tarehe 28 watathibitishaKiingereza kimekukataa kabisa
Huyo tumeshamzoea ndugu pingapinga. Nataka nimwambie kuwa kutoka Kigoma hakumfanyi kuwa na hati miliki ya watanzania wa KigomaKazi ipoooView attachment 1612008
Kwani mmeanza lini kuhusudu maendeleo ya vitu? Waacheni wanakigoma waamue kwani wameonaUjinga huu tumefikia hatua yakujisifia vyawatu ?
MATAGA Mlivyo ma Zuzu mnashangilia Meli ya Congo,Meli iliyokuwa assembled na Engineers wa CongoMtanzania, ungana nami kusherehekea mafanikio katika sekta ya usafiririshaji ambayo haya ni maendeleo ya vitu yanayochochea maendeleo ya watu.
Serikali ya awamu ya tano inaleta meli kubwa ya kisasa iitwayo Mv Amani ambayo itafanya safari zake katika ziwa Tanganyika na hivyo kuwa msaada mkubwa kwa ndugu zetu wa Kigoma.
Meli hiyo inauwezo wa kubeba abiria 600, magari 50 na mizigo tani 3500. Hongera Sana serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Magufuli.
#maendeleohayanavyama
Amani
View attachment 1611644
Usitulazimishe.......BABA ako kazaliwa mwaka mmoja na bakhresa mbona hakupata kitu ...........jichunge na mdomo wako kama sufuria ya lock upHatutaki Maendeleo ya vitu. Tunataka Maendeleo ya watu! Mbona hamsikii?
Kweli, watapaniki sana vile mzee anavyoshine kwa kushughulikia shida za watanzania woteHahahhaha... Mmepanic ee? Na bado,!
Hiyo ni meli ya joseph kabila.hii habari niliisoma huko mitandaoni na wamesema hiyo meli inatokea Congo kuja kigoma na itapokelewa na mkuu wa mkoa wa kigoma lakini hawakusema imenunuliwa