Asante Magufuli: MV Amani yaanza majaribio ziwa Tanganyika

Asante Magufuli: MV Amani yaanza majaribio ziwa Tanganyika

Meli ikishafanya safari kuja tz inakua ishanunuliwa? 😂😂😂😂
 
Kwani nimekataa?!! Tatizo lenu empty sets fc, huwa mnashindwa kutofautisha jf na fb!! Humu jf kuna watu wenye kuhoji na kujua mambo mengi, hivyo ukileta propaganda, una kula za uso, unazimia, ukipata ufahamu akili imekujia,na wewe unakuwa umejua kumbe ulikuwa hujui!!! Una ona sasa mbwembwe zote kumbe ulikuwa hujui, kuwa ni meli ya RDC, Na kuna watu tumeshaipanda, umekuwa mpoleee!!! TOKA SIZE YA SIMTANK, HADI SIZE YA KIKOMBE CHA KAHAWA!!! ni hatari sanaaa shehee
Ni Kweli kabisa kaka nilikuwa sijui kabisa Kama n meli ya RDC huko ulikoipandia. Hivi Rais wa huko RDC n nan? Savimbi beib au?
 
Haya wale wenye imani haba, kwao ni mpaka kuona ni kuamini, oneni, na October 28, fanyeni mambo by doing the right thing!

P
Na wengine tunakumbuka hii...

MV Dar.jpg

Watanzania tulipigwa na hatujasahau...​
 
Kwanini hapo mwanzo ilikuwa haiji?

Usione vyaelea, vimeundwa
Ujue mwanzo tulikua na meli zetu zilikua zikifanya kazi katika ziwa Tanganyika ambayo ni MV liemba na MV muongozo, sasa hivi meli zetu zote zimepaki ni Mbovu hazifanyi kazi , kwa hiyo Congo wameona watumie fursa iliyopo kuleta meli ili waongeze kipato chao, sisi acha tuendelee kulala ,
Sio kila kitu chakusifia tu pasipo kufikiria
 
Kwahiyo unataka tulaumu kwa ujio wa MV. Amani?
 
Kwahiyo unataka tulaumu kwa ujio wa MV. Amani?
Sasa kipi cha kufurahisha hapo , mue mnajielewa basi , iambie serekali yako ifufue meli zake zilizokufa zile ndio zenye manufaa makubwa kwetu , acha uzwazwa
 
Ujue mwanzo tulikua na meli zetu zilikua zikifanya kazi katika ziwa Tanganyika ambayo ni MV liemba na MV muongozo, sasa hivi meli zetu zote zimepaki ni Mbovu hazifanyi kazi , kwa hiyo Congo wameona watumie fursa iliyopo kuleta meli ili waongeze kipato chao, sisi acha tuendelee kulala ,
Sio kila kitu chakusifia tu pasipo kufikiria
Kuna ujenzi wa meli mpya soon utaanza
 
Sasa kipi cha kufurahisha hapo , mue mnajielewa basi , iambie serekali yako ifufue meli zake zilizokufa zile ndio zenye manufaa makubwa kwetu , acha uzwazwa
Unajua ndio maana mnafeli sana na mwaka huu sidhani Kama Zitto atapita. Kuna vitu sio vya kupinga, ukipinga wananchi ambao ndio wanufaika, kamwe hawawezi kukuelewa.

MV Liemba ni Meli ya muda mrefu Sana, toka mjerumani. Meli hii inahitaji matengenezo makubwa Sana na ambayo Ni afadhali ununue meli mpya ya kisasa.

Sasa hivi wananchi wa Kigoma wanateseka na serikali ikaona ilitatue kwanza tatizo Hilo mengine yatafuata. Nyie mnapinga.

Sikiliza, mlitakiwa mshukuru kwa ufumbuzi uliopatikana halafu mshauri serikali inunue meli zake au ikarabati zilizopo lakini sio kupinga.

Wananchi watawaadhibu keshokutwa jumatano
 
Unajua ndio maana mnafeli ssna na mwaka huu sidhani Kama Zitto atapita. Kuna vitu sio vya kupinga, ukipinga wananchi ambao ndio wanufaika, kamwe hawawezu kukuelewa.

MV Liemba ni Meli ya muda mrefu Sana, toka mjerumani. Meli hii inahitaji matengenezo makubwa Sana na ambayo Ni afadhali ununue meli mpya ya kisasa.

Sasa hivu wananchi wa Kigoma wanateseka na serikali ukaona ilitatue kwanza tatizo Hilo mengine yatafuata. Nyie mnapinga.

Sikiliza, mlitakiwa msgukuru kwa ufumvuzi uliopatikana halafu mshauri serikali inunue meli make au ikarabati zilizopo lakini sio kupinga.

Wananchi watawaadgibu keshokutwa jumatano

Mboga mboga vipi nyie tangu lini meli ya congo ikawa ya jpm ilikuwa haiji miaka sababu ya vurugu za Vita maeneo ya kivu na kalemie
 
Back
Top Bottom