Asante Magufuli: MV Amani yaanza majaribio ziwa Tanganyika

Asante Magufuli: MV Amani yaanza majaribio ziwa Tanganyika

MATAGA Mlivyo ma Zuzu mnashangilia Meli ya Congo,Meli iliyokuwa assembled na Engineers wa Congo
Tunashangilia meli ya kongo inayobeba abiria 600 wa Haiti, magari 50 ya Ubelgiji na mizigo tani 3500 ya kupelekwa Zimbabwe

Watanzania wa Kigoma wamemuelewa Magufuli
 
MaCCM waongo sana

Bravo to these Congolese geniuses, young Engineers who build 1 of the big boats in central Africa.

Assembly and construction at the port of Kalemie DR Congo for a capacity of 2 thousand tonnes of goods, 80 vehicles on board and 400 passengers to connect the DRC, Zambia, Burundi and Tanzania

Amani

Governor Zoe Kabila (middle) of Tanganyika Province with Jean Mbuyu Luyongola (left) at his side during the official commissioning of MV Amani in Kalemie DR Congo.

A l'inauguration du bateau MV Amani, le député national Jean Mbuyu Luyongola était au côté du gouverneur de Tanganyika

Kiufupi meli hii ni muhimu kwa maendeleo ya Kigoma na Tanzania kwa ujumla
 
Tunashangilia meli ya kongo inayobeba abiria 600 wa Haiti, magari 50 ya Ubelgiji na mizigo tani 3500 ya kupelekwa Zimbabwe

Watanzania wa Kigoma wamemuelewa Magufuli
Wewe ni Zwazwa, Mwanzo umesema Meli Kanunua Jiwe
Meli ya Congo hiyo
Nyie Ma Zwazwa endeleeni kushangilia kila kitu,hata wake zenu wakidungwa Mimba Mtashangilia
IMG-20201025-WA0155.jpg
 
Hahahhaha... Mmepanic ee? Na bado,!
Tatizo lenu lumumba fc!! huwa mambo ya msingi mnayafanya kama taarabu!! Ukweli upo wazi kuwa hiyo ni meli ya KABILA, na sio kwamba ni mali ya serikali ya Tz, sasa kuja kuwa inatoa huduma tu nchini, imeshakuwa yenu? Na mabango makubwa, shukuruni mungu tu, kuwa ujinga wa watz wengi ndio mtaji wenu ccm!! Kwani kuna propaganda zingine ni za kitoto sana!!!
 
Mtanzania, ungana nami kusherehekea mafanikio katika sekta ya usafiririshaji ambayo haya ni maendeleo ya vitu yanayochochea maendeleo ya watu.

Serikali ya awamu ya tano inaleta meli kubwa ya kisasa iitwayo Mv Amani ambayo itafanya safari zake katika ziwa Tanganyika na hivyo kuwa msaada mkubwa kwa ndugu zetu wa Kigoma.

Meli hiyo inauwezo wa kubeba abiria 600, magari 50 na mizigo tani 3500. Hongera Sana serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Magufuli.

#maendeleohayanavyama

Amani

View attachment 1611644
Imeileta kutoka wapi??! Wakati watu wengine tumeshaitumia sana hiyo meli huku DRC?!! Ndani ya ziwa Tanganyika!!! Hiyo ni meli ya JOSEPH KABILA!!
 
Wewe ni Zwazwa, Mwanzo umesema Meli Kanunua Jiwe
Meli ya Congo hiyo
Nyie Ma Zwazwa endeleeni kushangilia kila kitu,hata wake zenu wakidungwa Mimba MtashangiliaView attachment 1612142
Sasa meli ikitengenezwa kongo kuna dhambi gani? Mbona wewe umevaa boxer kutoka Uchina na hujavaa magome ya miti?

Sisi tunaangalua impact ya kiuchumi kwa wanakigoma na Tanzania kwa ujumla. Tunawajua nyie pingapinga ambao mnakesha kutafuta ubaya kwenye kila jema.

Tunawanyoa tuu vipara ngoto. Hapana chezea Magufuli, kura Kama zote kutoka Kigoma.

#leka dutigite
 
Sasa meli ikitengenezwa kongo kuna dhambi gani? Mbona wewe umevaa boxer kutoka Uchina na hujavaa magome ya miti?

Sisi tunaangalua impact ya kiuchumi kwa wanakigoma na Tanzania kwa ujumla. Tunawajua nyie pingapinga ambao mnakesha kutafuta ubaya kwenye kila jema.

Tunawanyoa tuu vipara ngoto. Haoana chezea Magufuli, kura Kama zote kutoka Kigoma.

#leka dutigite
Ulivyo Zwazwa next action ni kushikwa tako tu
 
Magufuli akili kubwa sana. Mungu amuweke sana mzee Magufuli, aendelee kumtumia kama chombo chake kwaajili ya nchi ya Tanzania.

Tunamtakia afya njema
 
Tatizo lenu lumumba fc!! huwa mambo ya msingi mnayafanya kama taarabu!! Ukweli upo wazi kuwa hiyo ni meli ya KABILA, na sio kwamba ni mali ya serikali ya Tz, sasa kuja kuwa inatoa huduma tu nchini, imeshakuwa yenu? Na mabango makubwa, shukuruni mungu tu, kuwa ujinga wa watz wengi ndio mtaji wenu ccm!! Kwani kuna propaganda zingine ni za kitoto sana!!!
Narudia tena, kiongozi mzuri n yule anayehakikisha anatatua kero za watu wake kwa njia na mbinu mbalimbali.

Inaelekea mnachukizwa sana na jinsi Magufuli na serikali yake inayoongozwa na CCM inavyotatua kero za wananchi. Sasa Kama sio uchawi, niambie n nn?
 
Haya wale wenye imani haba, kwao ni mpaka kuona ni kuamini, oneni, na October 28, fanyeni mambo by doing the right thing!

P
Duuuuh adi ww umekubwa na upepo wa Lumumba FC

Mungu mbariki Tundu Lisu

Mungu ibariki chadema

Mungu ibariki Tanzania

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Narudia tena, kiongozi mzuri n yule anayehakikisha anatatua kero za watu wake kwa njia na mbinu mbalimbali.

Inaelekea mnachukizwa sana na jinsi Magufuli na serikali yake inayoongozwa na CCM inavyotatua kero za wananchi. Sasa Kama sio uchawi, niambie n nn?
Ebu tamka neno Haki tuone Kama unaweza

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Narudia tena, kiongozi mzuri n yule anayehakikisha anatatua kero za watu wake kwa njia na mbinu mbalimbali.

Inaelekea mnachukizwa sana na jinsi Magufuli na serikali yake inayoongozwa na CCM inavyotatua kero za wananchi. Sasa Kama sio uchawi, niambie n nn?
Wala mimi sipo huko, uongozi ni kutatia kero za wananchi, lakini kwa awamu hii propaganda zimekuwa nyingi mno!!! Kuna radio/tv nimeisikia wakisifu kuwa hiyo meli ni mali ya Tz!!! Imenunuliwa kwa pesa zetu kuwakomboa watu wa kigoma!!! Kitu ambacho sio kweli!! Huo ndio uchawi wenyewe, kuna UNAAA ZAIDI YA HUU?!!
 
Sasa inafanya safari zake Tanzania Kigoma mwisho wa reli
Kwani nimekataa?!! Tatizo lenu empty sets fc, huwa mnashindwa kutofautisha jf na fb!! Humu jf kuna watu wenye kuhoji na kujua mambo mengi, hivyo ukileta propaganda, una kula za uso, unazimia, ukipata ufahamu akili imekujia,na wewe unakuwa umejua kumbe ulikuwa hujui!!! Una ona sasa mbwembwe zote kumbe ulikuwa hujui, kuwa ni meli ya RDC, Na kuna watu tumeshaipanda, umekuwa mpoleee!!! TOKA SIZE YA SIMTANK, HADI SIZE YA KIKOMBE CHA KAHAWA!!! ni hatari sanaaa shehee
 
Back
Top Bottom