Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,830
- 972
- Thread starter
- #41
Hakika, atakayeshinda ndie atakayetangazwa. Poa moyo kiongoziHatutakubali mlete figusi zenu za kunyonga wagombea waliopita katika chaguzi zenu mlete figusi za kunyonga uchaguzi mkuu ujao, kitanuka.--- ala ala mti na jicho, ala ala uchaguzi na amani yetu, hii nchi sio ya CCM, ni nchi ya watz wote 55 million na wengi wao hawana vyama. Kumbukeni hilo, atakaye shinda kihalali "principle" inataka atangazwe na apewe haki ya kuongoza, vinginevyo uchaguzi hautakuwa na maana yoyote na ni hadaa, kupoteza fedha na muda bure.