sayoo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 5,280
- 7,930
Nachopingana na ww ni kuonyesha kwamba hiyo meli imenunuliwa na Tanzania kumbe sio , unafosi ili waone hiyo meli ni yetu,Unajua ndio maana mnafeli ssna na mwaka huu sidhani Kama Zitto atapita. Kuna vitu sio vya kupinga, ukipinga wananchi ambao ndio wanufaika, kamwe hawawezu kukuelewa.
MV Liemba ni Meli ya muda mrefu Sana, toka mjerumani. Meli hii inahitaji matengenezo makubwa Sana na ambayo Ni afadhali ununue meli mpya ya kisasa.
Sasa hivu wananchi wa Kigoma wanateseka na serikali ukaona ilitatue kwanza tatizo Hilo mengine yatafuata. Nyie mnapinga.
Sikiliza, mlitakiwa msgukuru kwa ufumvuzi uliopatikana halafu mshauri serikali inunue meli make au ikarabati zilizopo lakini sio kupinga.
Wananchi watawaadgibu keshokutwa jumatano
Ishukuru na serekali ya Congo kwa kutuletea mell basi