Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,830
- 972
Meli ya congo hio itashawishi vipi kuongeza kura za CCMHongera sana JPM na serikali awamu ya tano kwa miundombinu hii ya uhakika.
Lengo na kazi ya serikali ni kufanya kila jambo kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora na zenye uhakika. Haijalishi serikali imenunua au laahii habari niliisoma huko mitandaoni na wamesema hiyo meli inatokea Congo kuja kigoma na itapokelewa na mkuu wa mkoa wa kigoma lakini hawakusema imenunuliwa
Acha mbwembwe mkuu. Tarehe 28 kamchague mzalendo namba moja na wagombea wa CCM kazi iendeleeNi lini msumari ukikutoboa amani ipatikane?
Meli ya kongo ambayo itahudumia wanakigoma na kurahisisha upatikinaji wa usafiri na mizigoMeli ya congo hio itashawishi vipi kuongeza kura za ccm
Meli ya DRC hiyo ujinga mzigo mkuu. Wanajichekeleaha wamezoea uongo sana kila kitu kudanganya watu. Wanatafuta kura za waha. CCM na Uongo ni kama mpira na upepo.hii habari niliisoma huko mitandaoni na wamesema hiyo meli inatokea Congo kuja kigoma na itapokelewa na mkuu wa mkoa wa kigoma lakini hawakusema imenunuliwa
Acha wivuhii habari niliisoma huko mitandaoni na wamesema hiyo meli inatokea Congo kuja kigoma na itapokelewa na mkuu wa mkoa wa kigoma lakini hawakusema imenunuliwa
Kibaraka wenu juzi ukerewe alipanda ngalawa almanusura limbwage chini akaanza kulia nakusema akipewa urais nayeye ata jenga kivuko uk.Hatutaki Maendeleo ya vitu. Tunataka Maendeleo ya watu! Mbona hamsikii?