Asante Magufuli: MV Amani yaanza majaribio ziwa Tanganyika

Nachopingana na ww ni kuonyesha kwamba hiyo meli imenunuliwa na Tanzania kumbe sio , unafosi ili waone hiyo meli ni yetu,
Ishukuru na serekali ya Congo kwa kutuletea mell basi
 
Sasa kipi cha kufurahisha hapo , mue mnajielewa basi , iambie serekali yako ifufue meli zake zilizokufa zile ndio zenye manufaa makubwa kwetu , acha uzwazwa
Unajua ndio maana mnafeli ssna na mwaka huu sidhani Kama Zitto atapita. Kuna vitu sio vya kupinga, ukipinga wananchi ambao ndio wanufaika, kamwe hawawezu kukuelewa.

MV Liemba ni Melissa ya muda mrefu Sana, toka mjerumani. Meli hii inahitaji matengenezo makubwa Sana na ambayo Ni afadhali ununue meli mpya ya kisasa.

Sasa hivu wananchi wa Kigoma wanateseka na serikali ukaona ilitatue kwanza tatizo Hilo mengine yatafuata. Nyie mnapinga.

Sikiliza, mlitakiwa msgukuru kwa ufumvuzi uliopatikana halafu mshauri serikali inunue meli make au ikarabati zilizopo lakini sio kupinga.

Wananchi watawaadgibu keshokutwa jumatano
Meli sio yetu mkuu ni ya Congo , mleta mada ni kichwa kibovu
Ishu n usafiri wa uhakika kwa wanakigoma
 
Hatutaki Maendeleo ya vitu. Tunataka Maendeleo ya watu! Mbona hamsikii?
Ukiitafuta tafsiri ya maendeleo ya vitu na maendeleo ya watu, huwezi kuipata popote, hivi vitu Kwa tarifa yako, vitu ndio vya mhimu kuliko hayo mnayosema maendeleo ya watu

Mfano mdogo tu kwako, mtu anapokuwa Hana elimu, atakuwa amewekeza kwenye maendeleo ya vitu....au maendeleo ya watu?

Je, aliyena Elimu, atakuwa amewekeza kwenye maendeleo ya watu...au ya vitu??

Elimu ni vitu....au ni nini???

Kama ni sio vitu, Kwa nini mtu hulazimika kupoteza muda, Mali zake ili awe na hicho kitu???

Je, unadhani ni Kwa nini maendeleo ya watu hulazimika kutumia vitu Kwanza ili kuwe na maendeleo ya watu??

Kwa hiyo ni kipi hutangulia Kati ya naendelea ya watu na vitu?
 
HII INAITWA BANDIKA BANDUA, SAFARI HII MPAKA MUOMBE POO. LISSU AMEPOTEZA MUDA KWA KUCHAFUA MAGUFULI SASA MAESHTUKA ANARUDI KWENYE SERA TAYARI MUDA UMEKWISHA. KASKAZINI NGOME IMEPASULIWA KATIKATI, HANA PA KUSHIKA. SAFARI HII HADI MUOMBE POO
 
meli yenyewe hii hapa

KAMPUNI YA SONGORO MARINE YA KITANZANIA IMEFANYA KAZI SANA NA IMEING'ARISHA TANZANIA. SASA HIVI KAMPUNI INAJENGA MELI KUBWA YA UGANDA, ILISHINDA TENDER YA KIMATAIFA NA IKAIBUKA MSHINDI, MAGUFULI ANAZIDI KUTENGENEZA MABILIONAIRE WA KIBONGO
 
Acha wale wengine waendelee kupiga domo
 
HII INAITWA BANDIKA BANDUA, SAFARI HII MPAKA MUOMBE POO. LISSU AMEPOTEZA MUDA KWA KUCHAFUA MAGUFULI SASA MAESHTUKA ANARUDI KWENYE SERA TAYARI MUDA UMEKWISHA. KASKAZINI NGOME IMEPASULIWA KATIKATI, HANA PA KUSHIKA. SAFARI HII HADI MUOMBE POO
Wamelikoroga kulinywa n lazima
 
kile kivuko cha Dar bunju ki wapi?

wale walimu ajira mpya wa wapi?
 
Tupe na ile kongwe yenye 100+ years
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…