Asante Magufuli. Tumesikia Barabara ya Bagamoyo Mlandizi inajengwa

Asante Magufuli. Tumesikia Barabara ya Bagamoyo Mlandizi inajengwa

Imeshaanza kujengwa?

Au umekuja kusifu tu hapa.
Wamesikia tu na kuona Tanroads wanapitapita kwenye barabara ya Mlandizi wakienda waendako na TARURA wanaimarisha mji wa Bagamoyo, yote ni kazi nzuri ya mtani wao Magufuli anayepongezwa kama imekamilika.
 
Wanajanvi hii ni special thread ya pongezi kwa His Exc. Magafuli kwa udhati wa kutusaidia wanabagamoyo pamoja na kuwa Mwanawetu mwenyewe alikuwa Rais, Mwanawetu Mwenyewe alikuwa Waziri wa Ujenzi na Baadae Elimu kwa kipindi Kirefu sana.

Mtani Magufuli, tumeona Kamji ketu ka Bagamoyo kanaimarika. Asanteni Wana TARURA.

Tumeona Barabara ya Bagamoyo Mlandizi watu wa Tanroads wanapita pita . Asante sana.

Hii barabara Ya Bagamoyo Mlandizi ndo inabeba sehemu kubwa ya mafuta ya kula, sukari, electronis used, na Mambo kadhaa kwa mikoa ya Kati mashariki Kama pwani, moro, etc.

Once again. Asante Magufuli, Asante TARURA, Asante TANROADS
Pumba.fu hujui hiyo ni kodi yako?
 
Shida ya madikteta ni ku-personalize kila kitu

Yeye ndio savior,yeye ndio mungu,yeye ndio masihi,yeye ndio mtume

Hapa sio kodi wala serikali kwa ujumla ni "Magufuli" as a demi God!

As if ana hela au ana chochote cha kufanya chochote dunia hii,kumbe ni ofisi ya nchi na wala sio mtu!
Kama ni ofisi bila initiative, mbona ofisi ya mfalme mbowe haijanunua hata kiwanja tu cha kujenga office ya makao makuu ya chama wakati chadema ilikuwa inapata mamilioni ya ruzuku zetu walipakodi? Changanya na zako kamanda!
 
Mawe akifa au akiwa anaumwa au akiwa kipofu au kibogoyo au stroked au paralyzed..ofisi haifanyi kazi zake kwendana na plan na bajeti tulizopitisha?
Endelea kupiga ramli mpaka uwe unajikatakata na viwembe labada miungu yako itakusikia!
 
Siasa za Africa zina tatizo kubwa sana la kuangalia personalities badala ya policies.

Tuna mahaba na personalities sana sana tu.

Hatuwezi kujikita kuchambua sera, uchumi.

Ndiyo maana mtu anaweza kukunyima bandari ambayo ingetoa catalyst ya uchumi kwa eneo zima na kujenga artwries za barabara na reli kwenda nchi nzima, halafu akakupa kibarabara kimoja cha kutoka Bagamoyo mpaka Mlandizi, halafu ukamsifia sana tu.

Tunajadili sifa kwa Magufuli badala ya uchumi.

Mkapa, political godfather wa Magufuki, alishawahi kumuonya Magufuli kuhusu hiki, alimwambia asioende sana kusema kuhusu serikali ya Magufuli, kwani serikali ni ya CCM.

Lakini mpaka leo watu wanashindwa kujadili sera, wanajadili mtu.

Ndipo upeo wa wengi ulipoishia.
 
Hata Manazi yanamkumbuka Hitler, so issue sio kumkumbuka bali atakumbukwa na nani!!!

Lakini kwa upande mwingine, hata terrific moment of our lives huwa tunazikumbuka, so again, issue sio kukumbuka bali kukumbuka katika mazingira gani!!!
Pita hivi na porojo zenu, woi.
 
And FYI, nilijua tu utaongea hiyo hoja!!!

Hivi Magu ni mtu wa kazi asiye na porojo au ni mtu wa kelele kwa kila anachofanya huku akiwa na praise team kubwa nyuma yake hata kama wengine pia walifanya, tena mengine zaidi ya hayo!!!

Ndo kuna member mmoja kuna uzi kanikumbusha jinsi Engineer alivyokuwa anasifia Awamu ya 5 kuhusu Rusumo Power Project wakati huu mradi ni wa tangu 2012, and by 2013 World Bank na AfDB wakawa wamesha-approve pesa!!!

Tumesikia Praise Team inavyosifia Flyovers wakati miradi yote yeye kaja kutekeleza tu!!

Tunasikia praise team inavyosifia barabara za Dar es salaam wakati pesa ilishatoka tangu 2015!!!

Nadhani Magu kama ataondoka madarakani, I bet atautangazia umma wote projects zote alizofanikisha funding lakini hazijaanza ili hata ikianza kujengwa baada ya kuwa ameondoka, watu wote wafahamu ni Magu ndie kafanikisha wakati wenzake wameondoka kimya kimya!!
Porojo porojo porojo
 
Mkuu mie naishi mbwawa hao watu wa Tarura / Tanroad wanapita wapi
Au ndotoni
 
Wanajanvi hii ni special thread ya pongezi kwa His Exc. Magafuli kwa udhati wa kutusaidia wanabagamoyo pamoja na kuwa Mwanawetu mwenyewe alikuwa Rais, Mwanawetu Mwenyewe alikuwa Waziri wa Ujenzi na Baadae Elimu kwa kipindi Kirefu sana.

Mtani Magufuli, tumeona Kamji ketu ka Bagamoyo kanaimarika. Asanteni Wana TARURA.

Tumeona Barabara ya Bagamoyo Mlandizi watu wa Tanroads wanapita pita . Asante sana.

Hii barabara Ya Bagamoyo Mlandizi ndo inabeba sehemu kubwa ya mafuta ya kula, sukari, electronis used, na Mambo kadhaa kwa mikoa ya Kati mashariki Kama pwani, moro, etc.

Once again. Asante Magufuli, Asante TARURA, Asante TANROADS
una akili kiduchu, unashukuru mali yako kama kichaa!
 
And FYI, nilijua tu utaongea hiyo hoja!!!

Hivi Magu ni mtu wa kazi asiye na porojo au ni mtu wa kelele kwa kila anachofanya huku akiwa na praise team kubwa nyuma yake hata kama wengine pia walifanya, tena mengine zaidi ya hayo!!!

Ndo kuna member mmoja kuna uzi kanikumbusha jinsi Engineer alivyokuwa anasifia Awamu ya 5 kuhusu Rusumo Power Project wakati huu mradi ni wa tangu 2012, and by 2013 World Bank na AfDB wakawa wamesha-approve pesa!!!

Tumesikia Praise Team inavyosifia Flyovers wakati miradi yote yeye kaja kutekeleza tu!!

Tunasikia praise team inavyosifia barabara za Dar es salaam wakati pesa ilishatoka tangu 2015!!!

Nadhani Magu kama ataondoka madarakani, I bet atautangazia umma wote projects zote alizofanikisha funding lakini hazijaanza ili hata ikianza kujengwa baada ya kuwa ameondoka, watu wote wafahamu ni Magu ndie kafanikisha wakati wenzake wameondoka kimya kimya!!
Wewe ni mpuuzi tu, bisha
 
Mafisadi kama nyinyi lazima mpinge kila kitu lakini mtanyooka tu na bado!
Wewe nilishakudharau kitambo sana, nimelazimika kukujibu only to tell you kwamba nimekupuuza!!!
 
Back
Top Bottom