Mimi si mpumbavu maana siongelei upuuzi kama wewe kichelemaSibishi, na wewe ni mpumbavu; bisha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi si mpumbavu maana siongelei upuuzi kama wewe kichelemaSibishi, na wewe ni mpumbavu; bisha!
Utakufa na stress tu sisi tunapiga kazi kama kawa! Mara umeshakuwa mzee na mikongojo juu mwisho tunaanza kuandika RIP. Chapa kazi mkuu!
Unaonaje basi nikikupuuza?! You sound like those a bunch of minions ambao am sorry to tell you that I have little to no time to argue with minions.. sorry!!Mimi si mpumbavu maana siongelei upuuzi kama wewe kichelema
Nilikueleza kuwa wewe ni mpuuzi na wala sikuwa and this is not an argument dogoUnaonaje basi nikikupuuza?! You sound like those a bunch of minions ambao am sorry to tell you that I have little to no time to argue with minions.. sorry!!
Wewe utakuwa sio mwanabagamoyoWanajanvi hii ni special thread ya pongezi kwa His Exc. Magafuli kwa udhati wa kutusaidia wanabagamoyo pamoja na kuwa Mwanawetu mwenyewe alikuwa Rais, Mwanawetu Mwenyewe alikuwa Waziri wa Ujenzi na Baadae Elimu kwa kipindi Kirefu sana.
Mtani Magufuli, tumeona Kamji ketu ka Bagamoyo kanaimarika. Asanteni Wana TARURA.
Tumeona Barabara ya Bagamoyo Mlandizi watu wa Tanroads wanapita pita . Asante sana.
Hii barabara Ya Bagamoyo Mlandizi ndo inabeba sehemu kubwa ya mafuta ya kula, sukari, electronis used, na Mambo kadhaa kwa mikoa ya Kati mashariki Kama pwani, moro, etc.
Once again. Asante Magufuli, Asante TARURA, Asante TANROADS
Ni wajibu wa Serikali yoyote Duniani kutengeneza Miundo mbinu sababu ndiyo inayokusanya kodi.
Haya mambo ya kusifu mtu pasipo sababu mnakera sana nyie watu.
Utakufa na kiroho chako, nenda hata uwanbie familia yako wawe wanakusifu ili nawe upate faraja.Shida ya madikteta ni ku-personalize kila kitu
Yeye ndio savior,yeye ndio mungu,yeye ndio masihi,yeye ndio mtume
Hapa sio kodi wala serikali kwa ujumla ni "Magufuli" as a demi God!
As if ana hela au ana chochote cha kufanya chochote dunia hii,kumbe ni ofisi ya nchi na wala sio mtu!
MisweKwenu ni kijiji gani? Matimbwa, bomu, sunguvuni, yombo, chasimba n.k n.k
Kumshukuru anaetenda ni uungwanauna akili kiduchu, unashukuru mali yako kama kichaa!
Sawajamani mbona Barabara kuu zipo zitakazounganisha Bagamoyo na Dsm,
Bagamoto Msata Chalinze, Bagamoyo Msata Segera
hiyo barabara ya kubeba mafuta ya kula ndio mpaka muwanange Marais waliopita?
huku nyuma ya Chalinze ipo nyingine ya kuunganisha Moro rd na ya Chalinze
Mkuu hii siyo kweli. Mwezi wa 10 tu nilikuwa huko. Barabara za mji huo zimechoka, zimechakaa na Bagamoyo imekuwa kama Kibera.Mtani Magufuli, tumeona Kamji ketu ka Bagamoyo kanaimarika.
Duh.... Mnatucheka sana mkija huku nyie. Kibera vs Bagamoyo hahahaaaaMkuu hii siyo kweli. Mwezi wa 10 tu nilikuwa huko. Barabara za mji huo zimechoka, zimechakaa na Bagamoyo imekuwa kama Kibera.
Kiukweli jpm hajamtendea haki mhe Kikwete. Alipaswa kumpa heshima kwa kuziweka sawa barabara za mji huo na kubariki ujenzi wa bandari ya Bagamoyo badala ya kuifuta kama alivyofanya.Duh.... Mnatucheka sana mkija huku nyie. Kibera vs Bagamoyo hahahaaaa