Asante Magufuli. Tumesikia Barabara ya Bagamoyo Mlandizi inajengwa

Imeshaanza kujengwa?

Au umekuja kusifu tu hapa.
Wamesikia tu na kuona Tanroads wanapitapita kwenye barabara ya Mlandizi wakienda waendako na TARURA wanaimarisha mji wa Bagamoyo, yote ni kazi nzuri ya mtani wao Magufuli anayepongezwa kama imekamilika.
 
Pumba.fu hujui hiyo ni kodi yako?
 
Kama ni ofisi bila initiative, mbona ofisi ya mfalme mbowe haijanunua hata kiwanja tu cha kujenga office ya makao makuu ya chama wakati chadema ilikuwa inapata mamilioni ya ruzuku zetu walipakodi? Changanya na zako kamanda!
 
Mawe akifa au akiwa anaumwa au akiwa kipofu au kibogoyo au stroked au paralyzed..ofisi haifanyi kazi zake kwendana na plan na bajeti tulizopitisha?
Endelea kupiga ramli mpaka uwe unajikatakata na viwembe labada miungu yako itakusikia!
 
Siasa za Africa zina tatizo kubwa sana la kuangalia personalities badala ya policies.

Tuna mahaba na personalities sana sana tu.

Hatuwezi kujikita kuchambua sera, uchumi.

Ndiyo maana mtu anaweza kukunyima bandari ambayo ingetoa catalyst ya uchumi kwa eneo zima na kujenga artwries za barabara na reli kwenda nchi nzima, halafu akakupa kibarabara kimoja cha kutoka Bagamoyo mpaka Mlandizi, halafu ukamsifia sana tu.

Tunajadili sifa kwa Magufuli badala ya uchumi.

Mkapa, political godfather wa Magufuki, alishawahi kumuonya Magufuli kuhusu hiki, alimwambia asioende sana kusema kuhusu serikali ya Magufuli, kwani serikali ni ya CCM.

Lakini mpaka leo watu wanashindwa kujadili sera, wanajadili mtu.

Ndipo upeo wa wengi ulipoishia.
 
Hata Manazi yanamkumbuka Hitler, so issue sio kumkumbuka bali atakumbukwa na nani!!!

Lakini kwa upande mwingine, hata terrific moment of our lives huwa tunazikumbuka, so again, issue sio kukumbuka bali kukumbuka katika mazingira gani!!!
Pita hivi na porojo zenu, woi.
 
Porojo porojo porojo
 
Mkuu mie naishi mbwawa hao watu wa Tarura / Tanroad wanapita wapi
Au ndotoni
 
una akili kiduchu, unashukuru mali yako kama kichaa!
 
Wewe ni mpuuzi tu, bisha
 
Mafisadi kama nyinyi lazima mpinge kila kitu lakini mtanyooka tu na bado!
Wewe nilishakudharau kitambo sana, nimelazimika kukujibu only to tell you kwamba nimekupuuza!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…