Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Namshukuru Sana Samia ameifufua private sector baada ya kufa na kuanza kukejeli vijana eti wajiajiri wakati kiukweli kulikuwa hakuna sehemu au upenyo wa kutokea kila Kona ilikuwa ni vilio tu.
Sasa hivi kila Kona Kuna fursa kiasi ambacho watu hawaoni tena umaana wa kuajiriwa serikalini tofauti na kipindi cha Rais Magufuli ambapo kuajiriwa serikalini ilikuwa ni dili.
Zidumu fikra za mama na apewe aongoze forever and ever.