Asante mama kwa Sasa private sector iko strong kabisa

Ikitotanzila

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2020
Posts
1,409
Reaction score
2,263
Namshukuru Sana Samia ameifufua private sector baada ya kufa na kuanza kukejeli vijana eti wajiajiri wakati kiukweli kulikuwa hakuna sehemu au upenyo wa kutokea kila Kona ilikuwa ni vilio tu.

Sasa hivi kila Kona Kuna fursa kiasi ambacho watu hawaoni tena umaana wa kuajiriwa serikalini tofauti na kipindi cha Rais Magufuli ambapo kuajiriwa serikalini ilikuwa ni dili.

Zidumu fikra za mama na apewe aongoze forever and ever.
 
Tutajie viwanda vilivyo kufa kipindi cha jpm na Sasa vimefufuliwa
 
Chawa hamna akili kabisa.

Juzi TRA i.etangaza kazi 1,000 wameomba watu 66,000.

Jana zimetangazwa kazi za ualimu, hadi sasa wameshaomba watu 83,000 ndani ya siku 5 tu, hadi deadline watafika laki 2.

Hap wasiotaka kuajiriwa wako wapi?
 
Jpm ndo aliharibu Sana baada ya kuwarundika graduates mtaani bila ajira. Mama analisolve taratibu hili swala. Wa kulaumiwa Ni jpm kwani jk alilisolve completely akaja confuser akaconfuse kila kitu.
 
Hapa JK alikuwa madarakani. Na kipindi hiki kumbuka ilikuwa kupata mkopo mpaka wanachuo wagome.
images.jpg
 
Jpm ndo aliharibu Sana baada ya kuwarundika graduates mtaani bila ajira. Mama analisolve taratibu hili swala. Wa kulaumiwa Ni jpm kwani jk alilisolve completely akaja confuser akaconfuse kila kitu.
Hizo data za JK ku solve tatzo la ajira completely umezitolea wapi?unless umezaliwa 2015, hukushuhudia graduates wakisota mtaani during his tenure.
Huu ushabiki wenu unawafanya muonekane ni jinsi gani mpo empty kichwani.
Kuna haja ya kuungalia upya mfumo wetu wa Elimu, umeshindwa kabisa kutoa vijana wanaojitambua.
 
Namshukuru Sana Samia ameifufua private sector baada ya kufa na kuanza kukejeli vijana eti wajiajiri wakati kiukweli kulikuwa hakuna sehemu au upenyo wa kutokea kila Kona ilikuwa ni vilio tu.

Sasa hivi kila Kona Kuna fursa kiasi ambacho watu hawaoni tena umaana wa kuajiriwa serikalini tofauti na kipindi cha Rais Magufuli ambapo kuajiriwa serikalini ilikuwa ni dili.

Zidumu fikra za mama na apewe aongoze forever and ever.
Upo mkoa gani?
 
Hizo data za JK ku solve tatzo la ajira completely umezitolea wapi?unless umezaliwa 2015, hukushuhudia graduates wakisota mtaani during his tenure.
Huu ushabiki wenu unawafanya muonekane ni jinsi gani mpo empty kichwani.
Kuna haja ya kuungalia upya mfumo wetu wa Elimu, umeshindwa kabisa kutoa vijana wanaojitambua.
Mkuu soma tangazo la tamisemi la waalimu. Wamesema hivi kuanzia 2015 na kushuka walikuwa wanaajili kila anayegraduate ualimu labda ukatae mwenyewe
 
Unazungumzia Tanzania hii tuliopo au kuna Tanzania nyingine sehemu...???
 
Chawa hamna akili kabisa.

Juzi TRA i.etangaza kazi 1,000 wameomba watu 66,000.

Jana zimetangazwa kazi za ualimu, hadi sasa wameshaomba watu 83,000 ndani ya siku 5 tu, hadi deadline watafika laki 2.

Hap wasiotaka kuajiriwa wako wapi?
Huyu ni chawa max....kwamba ajira sasa zimefurika hadi serikali imekosa watu wa kuajiri.
 
Mkuu, skuizi kunguni unasagiwa juu ya chawa...😜😜
 
Hizo data za JK ku solve tatzo la ajira completely umezitolea wapi?unless umezaliwa 2015, hukushuhudia graduates wakisota mtaani during his tenure.
Huu ushabiki wenu unawafanya muonekane ni jinsi gani mpo empty kichwani.
Kuna haja ya kuungalia upya mfumo wetu wa Elimu, umeshindwa kabisa kutoa vijana wanaojitambua.
Mfumo wa elimu hauwezi kuangaliwa maana huu uliopo Ni nafuu kwa watawala.
 
Back
Top Bottom