Asante mama mkwe kwa kunizalia microscope, hata jambo liwe dogo vipi linakuzwa!

Asante mama mkwe kwa kunizalia microscope, hata jambo liwe dogo vipi linakuzwa!

Wanawake bana, yani nilimkosea kakosa kadogo ila sikudhani lingekuwa kuuuuubwa kivile alafu hapo hapo anaibua na mambo mengine ya nyuma huko, kumbe sijui huwa wanayahifadhi matukio.

Mtu unamuuliza yametokea wapi tena anakujibu sijui.
Hivi mpaka leo vijana hamjajuwa Pub zimejengwa kwa ajili ya nini?

Unapata wapi muda wa debate na mwanamuke?
 
Back
Top Bottom