Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Hata sio joblessMwanamke akiwa Jobless lazima awe hivi.
πΉπΉπΉ Basi kumbe na wao km sisi wakinga, muhimu tutafute pesa mapenzi tuwaachie wabobezi watu wa Tanga.!!πππ
shida makungwi wa kaskazini hawatakufundisha mapenzi, kutafuta Pesa wamuachie nani..??
Comment yako imenibariki nilijua wanaume wenye vifua na wenye tabia za kiumeni waliisha, kumbe bado mpo.!!Mzima wa afya ..
Wifi yako mrembo yuko salama,Tuweke shida zetu huku mtucheke?...tunagombana vyumbani na kumaliza huku huku π
Wifi hivi kaka yuko wapi siku hizi??ππππππ
Kaka nani huyo wifi angu?Wifi hivi kaka yuko wapi siku hizi??
Nilitamani nione comment yake sana πΉπΉ
Ushamjua usizuge hapa πΉπΉKaka nani huyo wifi angu?
ππππππ
Kaka Vincenzo Jr alisema mabakuli kaenda kuuza dagaaππππππUshamjua usizuge hapa πΉπΉ
Unampoteza Elon musk wa baadae utajutia.!!Kaka Vincenzo Jr alisema mabakuli kaenda kuuza dagaaππππππ
ππππππππUnampoteza Elon musk wa baadae utajutia.!!
Maba ukitoa mambo yake mengine ila ni mtu mwenye version mi namkubali sana.!!
Kapotea sana itakuwa anazichanga
Amen Ameeeeeen!Have a good oneComment yako imenibariki nilijua wanaume wenye vifua na wenye tabia za kiumeni waliisha, kumbe bado mpo.!!
Vizuri sana tunza siri za ndani mwako usije kuonekana wa hovyo.!
Mpe hi wifi, mwambie kwa Patel hakujatoka phaller..!
Wow!Brave
Namkubali ubongo wake uko vizuri kuna point anazimwagaga humu yuko vizuri.!!ππππππππ
We mkubali tu
Hio microscope maleria inapima ?kama ujaitumia sana niuzieWanawake bana, yani nilimkosea kakosa kadogo ila sikudhani lingekuwa kuuuuubwa kivile alafu hapo hapo anaibua na mambo mengine ya nyuma huko, kumbe sijui huwa wanayahifadhi matukio.
Mtu unamuuliza yametokea wapi tena anakujibu sijui.
ππππYule hakuwai kua bwana angu ni mdogo angu kabisa.Namkubali ubongo wake uko vizuri kuna point anazimwagaga humu yuko vizuri.!!
Kuna nyuzi zake nzuri sana ukiacha zile za ujinga ujinga.!!
Wifi mi nakushauri tulia kwa maba ana kitu.
πΉπΉπΉ Ila umekana kwa nguvu.!!ππππYule hakuwai kua bwana angu ni mdogo angu kabisa.
Hata mtu wangu alivoona haya alishangaa sana.
Cz kuna siku alikua akipiga simu nilikua nae na alikua akisikia dogo akiwa anawadis watu.
We mkubali tu kwa kweli me sitaki habari zake kwa kweli angalau ningekua namjua anafananiaje.
Ningeweza kukwambia kama ana akiri au laah.
Najaribu kuueleza umma ππππΉπΉπΉ Ila umekana kwa nguvu.!!
Nwei niliipenda kapu yenu.!!