Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,184
- 4,517
Hao ndio wanawake ukimuiga miendo yao ya kuhifadhi umeumia. Mimi anaumia mpaka analazwa hospital Bp. Kusema chanzo cha bp hawezi ksbb chanzo kinakuwa kidogo lakini anakibadirisha mpaka kwake kinamuumiza.