Asante mama mkwe kwa kunizalia microscope, hata jambo liwe dogo vipi linakuzwa!

Asante mama mkwe kwa kunizalia microscope, hata jambo liwe dogo vipi linakuzwa!

Wanawake bana, yani nilimkosea kakosa kadogo ila sikudhani lingekuwa kuuuuubwa kivile alafu hapo hapo anaibua na mambo mengine ya nyuma huko, kumbe sijui huwa wanayahifadhi matukio.

Mtu unamuuliza yametokea wapi tena anakujibu sijui.
Mkuu pole lakini unao ya pata na kwetu ni hivo hivo hao wadudu hawana tofauti na hawana jema wengi wana jini visirani.........
 
Back
Top Bottom