Hakika mkuu.Akili imekuruka, akiwa anaomba kura kwa nafasi ya ugombea mwenza ukumuona? Au unajifanya hujui nafasi hiyo inamaana gani? Na kwa taarifa yako, huyu ni bora kuliko huyo uliemwabudu!
Muda ni sasa!Kwa wananchi: Tunaendelea kusisitiza kwamba, Mama aachwe afanye kazi na neema zitapatikana kwa kila mmoja wetu.
Viva Mama Samia! Muda ni sasa![emoji736][emoji817][emoji1548][emoji736][emoji1548][emoji817][emoji736][emoji1548][emoji817]
Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa zinatunyima uwezo wa kuhukumu kwa haki tunapowaongelea viongozi wa kitaifa.Tatizo kubwa sana hili.
Hata kwenye kampuni tu za kawaida ni kwamba boss anakuwa hana kazi. Hii mentality ndiyo iliyojengeka miongoni mwetu
Mama atakuwa alinyanyaswa sana na watu wa karibu wa hayati JPM.Hakika mkuu.
Mama amefanya kazi bega kwa bega na mtangulizi wake. Kama hana maana mbona alipotaka kujiuzulu baada ya kuwa mambo yanaendeshwa vurugu vurugu ilibidi "watu wazima" waingilie kati??
Wasiojua utawala ndio watakaosema eti nafasi ya Makamo wa Rais haina maana. Sisi tuliosomea na tunaofanya mambo ya Administration ndio tuna upeo wa kuona umuhimu wa nafasi hii.
Mwendazake amkuachia makovu makubwa sana.Katiba mpya ndio kaburi la chama chakavu
Nani kakwambia hawana kazi.ina maana kazi alizokua anafanya mohamed shein,gharib bilal,malecela,warioba,msuya, ukuziona,au ulikua ujazaliwa.au umeathiriwa na awamu iliyopita ambayo rais alijimilikisha kila kitu akitaka asikike yeye tu ndo maana ukusikia au ukuona kazi alizokua anafanya SSh.Nenda kafwatilie majukum ya makamu wa rais alafu urudi tena.Marekani hawana Waziri Mkuu kwa hiyo kazi za Waziri Mkuu zinafanywa na Makamu wa Rais ndo maana wa Marekani pia ndo Mwenyekiti wa Senate tofauti na wa kwetu anayengoja miaka 10 bila kazi mpaka Rais afariki ili aanze kazi ya Urais. Rais asipokufa madarakani, Makamu atakuwa amelipwa mshahara muda wote kumwombea afe ili arithi!
Na kwa sababu hiyo hawawezi kukubali. Samia akitaka aache alama(legacy) Tanzania na dunia imkumbuke, tumjengee sanamu pale posta na pale Unguja basi atupatie katiba mpyaKatiba mpya ndio kaburi la chama chakavu
Unazijua gharama za uchaguzi!!?
ama unaongea ilimradi
Mama amedhamiria kumkomboa Mtanzania mnyonge kutoka kwenye lindi la matatizo yaliyosababishwa na kikundi kiovu ndani ya chama.Mama atakuwa alinyanyaswa sana na watu wa karibu wa hayati JPM.
Wamo humu kutwa kuanzisha threads za majungu na unafiki.
Hana ajualo huyo jamaa.Nani kakwambia hawana kazi.ina maana kazi alizokua anafanya mohamed shein,gharib bilal,malecela,warioba,msuya, ukuziona,au ulikua ujazaliwa.au umeathiriwa na awamu iliyopita ambayo rais alijimilikisha kila kitu akitaka asikike yeye tu ndo maana ukusikia au ukuona kazi alizokua anafanya SSh.Nenda kafwatilie majukum ya makamu wa rais alafu urudi tena.
Mama anajua hitaji la Watanzania walio wengi.Na kwa sababu hiyo hawawezi kukubali. Samia akitaka aache alama(legacy) Tanzania na dunia imkumbuke, tumjengee sanamu pale posta na pale Unguja basi atupatie katiba mpya
Na ndio tupo tunasubiria.
Tunamuombea kwa Mungu kila Leo asije akabadilisha au akabadilishwa mawazo yake juu ya suala hili. Lakini pia tunamuombea kwa Mungu ampe umri na uwezo wa kukamilisha azma yake hii.