Asante mitandao: Yule Mchina aliyetukana kibaguzi hadi Rais Kenyatta afukuzwa Kenya

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,653
Reaction score
31,010
IMG-20180907-WA0016.jpg
Yule Mchina ambaye clips zake zimesambaa mitandsoni akitukana waafrika kuwa wananuka pamoja na rais wao Mh Uhuru Kenyatta, amepigwa PI(Prohibited Immigrant) na kuondolewa nchini Kenya ndani ya masaa 24 baada ya kukamatwa.

Naipongeza Serikali ya Kenya kwa hatua kali na ya haraka.
Vile vile napongeza matumizi mazuri ya kizalendo kufichua uozo na dharau zinazoonyeshwa na wageni walio na ujinga kichwani.
 
Mchina kafukuzwa kwa kutukana lakini clip mbili zingine nimeona mzungu anamchapa makofi mhudumu wa hotel lakini sikusikia chochote

Tuwe na ujasiri hata kwa wazungu au ni kama kawaida kumthamini mzungu zaidi

Huyo mchina ilibidi afungwe kwanza halafu asafirishwe

Pia tunasubiri ya mzungu mtuambie mliendelea kumtandikia chumba chake na kumbebea masanduku siku anaondoka?
 
Mzungu alchapia makofi mhudumu Kenya?
 
View attachment 859611Yule Mchina ambaye clips zake zimesambaa mitandsoni akitukana waafrika kuwa wananuka pamoja na rais wao MhbUhuru Kenyatta, amepigwa PI(Prohibited Immigrant) na kuondolewa nchini Kenya ndani ya masaa 24 baada ya kukamatwa.

Naipongeza Serikali ya Kenya kwa hata kali na ya haraka.
Vile vile napongeza matumizi mazuri ya kizalendo kufichua uozo na dharau zinazoonyeshwa na wageni walio na ujinga kichwani.
Nina uhakika ingawa katukana waafrika wote ila ingekuwa katukania hapa Tanzania, tulipofikia kisiasa kuna watu wangemshangilia au wangehoji mpaka misuli ya shingo kutaka kupasuka kwa nini afukuzwe. Hata viongozi wangeingilia kumtetea. Hapa ndio tuaona tofauti ya Kenya na Tz. Hongera sana Kenya kwa kujitambua na kuwakilisha Afrika.
 
Hawa wageni wapuuzi sana ,nilishawahi shuhudia Mzungu mmoja pale Nairobi city centre kwenye ofisi za Safari Com , jamaa mmoja black anafoka kwa jazba baada ya kushindwa kuhudumiwa alafu mzungu anakuja anapewa priority ,Jamaaa alifoka na kusema huu ni uonevu na tukiendelea hivi wajukuu zetu watakuwa watumwa tena

Hawa weupe wapuuzi sana
 
Mchina kafukuzwa kwa kutukana lakini clip mbili zingine nimeona mzungu anamchapa makofi mhudumu wa hotel lakini sikusikia chochote

Tuwe na ujasiri hata kwa wazungu au ni kama kawaida kumthamini mzungu zaidi

Huyo mchina ilibidi afungwe kwanza halafu asafirishwe

Pia tunasubiri ya mzungu mtuambie mliendelea kumtandikia chumba chake ungu olokuwana kumbebea masanduku siku anaondoka?
Mkuu yule mzungu ilikuwa Uganda sijui kwa nini WALIMLAZIA DAMU!
 
View attachment 859611Yule Mchina ambaye clips zake zimesambaa mitandsoni akitukana waafrika kuwa wananuka pamoja na rais wao MhbUhuru Kenyatta, amepigwa PI(Prohibited Immigrant) na kuondolewa nchini Kenya ndani ya masaa 24 baada ya kukamatwa.

Naipongeza Serikali ya Kenya kwa hata kali na ya haraka.

Vile vile napongeza matumizi mazuri ya kizalendo kufichua uozo na dharau zinazoonyeshwa na wageni walio na ujinga kichwani.

Vichina vibaguzi vya rangi sana kuliko hata wazungu. Wengi hawajastarabika. Ni njaa tu inawaleta Afrika. Ahiiiiiii... Nitukane nikiwa Shanghai sio kwenye ardhi yangu Afrika. Tunataka heshima kwanza la sivyo sepeni na vimisaada vyenu.... Take care!!!
 
View attachment 859611Yule Mchina ambaye clips zake zimesambaa mitandsoni akitukana waafrika kuwa wananuka pamoja na rais wao MhbUhuru Kenyatta, amepigwa PI(Prohibited Immigrant) na kuondolewa nchini Kenya ndani ya masaa 24 baada ya kukamatwa.

Naipongeza Serikali ya Kenya kwa hata kali na ya haraka.
Vile vile napongeza matumizi mazuri ya kizalendo kufichua uozo na dharau zinazoonyeshwa na wageni walio na ujinga kichwani.
Hawa kumtia ndani kwa masaa kadhaa akutane na wazee wa kazi?
 
View attachment 859611Yule Mchina ambaye clips zake zimesambaa mitandsoni akitukana waafrika kuwa wananuka pamoja na rais wao MhbUhuru Kenyatta, amepigwa PI(Prohibited Immigrant) na kuondolewa nchini Kenya ndani ya masaa 24 baada ya kukamatwa.

Naipongeza Serikali ya Kenya kwa hata kali na ya haraka.
Vile vile napongeza matumizi mazuri ya kizalendo kufichua uozo na dharau zinazoonyeshwa na wageni walio na ujinga kichwani.
Yaani waugwana Sana. Yaani mnamrudisha pua imenyooka namna hiyo, ?????? Anaenda moja kwa moja nyumbani !!!!!! Bila kupitia mahali aiseee,.
Kwani wale waliomshika boby wine wako wapi ???? Hawajamwona huyu ???? Aiseee
Roho imeniuma ukweli !!!!!
 
View attachment 859611Yule Mchina ambaye clips zake zimesambaa mitandsoni akitukana waafrika kuwa wananuka pamoja na rais wao MhbUhuru Kenyatta, amepigwa PI(Prohibited Immigrant) na kuondolewa nchini Kenya ndani ya masaa 24 baada ya kukamatwa.

Naipongeza Serikali ya Kenya kwa hata kali na ya haraka.
Vile vile napongeza matumizi mazuri ya kizalendo kufichua uozo na dharau zinazoonyeshwa na wageni walio na ujinga kichwani.
Sijaipen hii hukumu na hatupaswi kuipongeza... Huyu alipaswa faini kubwa, jela na kifungo cha muda mrefu pamoja na kufilisiwa mali zake[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
 
Mzungu alchapia makofi mhudumu Kenya?
Kuna clip ilionekana sana kwenye mitandao na walikuwa wanaongea kiswahili
Imgawa kuna mdau kasema ilikuwa ni Uganda it doesn't make any difference kwa sababu ni mwafrika tu ndio alikuwa anakatwa makofi bila kujitetea
 
Yule mchina aliyechanaga noti ya Mtz pale osterbey kesi yake iliishaje kweli.
 
Back
Top Bottom