Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
- Thread starter
- #21
Du... taratibu mzee!!Huyo ilitakiwa kabla ya kurudishwa aliwe goti....kwanza ili aipate fresh
Du... taratibu mzee!!Huyo ilitakiwa kabla ya kurudishwa aliwe goti....kwanza ili aipate fresh
Hawezi tuambia watu weusi tunanuka....mpuuzi sanaDu... taratibu mzee!!
Umesema 100% true!Nina uhakika ingawa katukana waafrika wote ila ingekuwa katukania hapa Tanzania, tulipofikia kisiasa kuna watu wangemshangilia au wangehoji mpaka misuli ya shingo kutaka kupasuka kwa nini afukuzwe. Hata viongozi wangeingilia kumtetea. Hapa ndio tuaona tofauti ya Kenya na Tz. Hongera sana Kenya kwa kujitambua na kuwakilisha Afrika.
View attachment 859611Yule Mchina ambaye clips zake zimesambaa mitandsoni akitukana waafrika kuwa wananuka pamoja na rais wao Mh Uhuru Kenyatta, amepigwa PI(Prohibited Immigrant) na kuondolewa nchini Kenya ndani ya masaa 24 baada ya kukamatwa.
Naipongeza Serikali ya Kenya kwa hatua kali na ya haraka.
Vile vile napongeza matumizi mazuri ya kizalendo kufichua uozo na dharau zinazoonyeshwa na wageni walio na ujinga kichwani.
Umeniwahi,asanteNina uhakika ingawa katukana waafrika wote ila ingekuwa katukania hapa Tanzania, tulipofikia kisiasa kuna watu wangemshangilia au wangehoji mpaka misuli ya shingo kutaka kupasuka kwa nini afukuzwe. Hata viongozi wangeingilia kumtetea. Hapa ndio tuaona tofauti ya Kenya na Tz. Hongera sana Kenya kwa kujitambua na kuwakilisha Afrika.
Kweli inakera kudharauliwa kiasi hicho, lakini muhimu ni kama huyu jamaa kamwingiza mtego ambao Mchina hakuweza kujipurukuchua hata afanye nini.Hawezi tuambia watu weusi tunanuka....mpuuzi sana
Ana bahati, angepelekwa Kimiti Maximum Security Prison angechezea miti.vp jamani, ina maana kwamba hata hajapokea bando la viboko..?
Ingekuwa ni mimi najibiwa hivyo angekiona cha mtema kuni! Huyo jamaa ni mvumilivu sana. Hiyo vieo nilikuwa sijaiona lakini nimefanikiwa kuipata. Link ndiyo hii:Hawa kumtia ndani kwa masaa kadhaa akutane na wazee wa kazi?
Kweli mkuu, huyu jamaa angeenda polisi kushitaki angepatabusumbufu mkubwa na polisi "wangepoozwa" kikubwa na huyo mchina ili mashitaka yasiwepo.Tusiiangaliemitandao kwa negative expectations tuu, ni vyema tukajua kwamba ina umuhimu wakepia.
View attachment 859611Yule Mchina ambaye clips zake zimesambaa mitandsoni akitukana waafrika kuwa wananuka pamoja na rais wao Mh Uhuru Kenyatta, amepigwa PI(Prohibited Immigrant) na kuondolewa nchini Kenya ndani ya masaa 24 baada ya kukamatwa.
Naipongeza Serikali ya Kenya kwa hatua kali na ya haraka.
Vile vile napongeza matumizi mazuri ya kizalendo kufichua uozo na dharau zinazoonyeshwa na wageni walio na ujinga kichwani.
Boya huyo chalii wakati wao ndo wana nukaView attachment 859611Yule Mchina ambaye clips zake zimesambaa mitandsoni akitukana waafrika kuwa wananuka pamoja na rais wao Mh Uhuru Kenyatta, amepigwa PI(Prohibited Immigrant) na kuondolewa nchini Kenya ndani ya masaa 24 baada ya kukamatwa.
Naipongeza Serikali ya Kenya kwa hatua kali na ya haraka.
Vile vile napongeza matumizi mazuri ya kizalendo kufichua uozo na dharau zinazoonyeshwa na wageni walio na ujinga kichwani.
alikamatwa uwe unafuatilia mamboMchina kafukuzwa kwa kutukana lakini clip mbili zingine nimeona mzungu anamchapa makofi mhudumu wa hotel lakini sikusikia chochote
Tuwe na ujasiri hata kwa wazungu au ni kama kawaida kumthamini mzungu zaidi
Huyo mchina ilibidi afungwe kwanza halafu asafirishwe
Pia tunasubiri ya mzungu mtuambie mliendelea kumtandikia chumba chake na kumbebea masanduku siku anaondoka?
Huyo mzungu alikamatwa?alikamatwa uwe unafuatilia mambo
Hawa wageni wapuuzi sana ,nilishawahi shuhudia Mzungu mmoja pale Nairobi city centre kwenye ofisi za Safari Com , jamaa mmoja black anafoka kwa jazba baada ya kushindwa kuhudumiwa alafu mzungu anakuja anapewa priority ,Jamaaa alifoka na kusema huu ni uonevu na tukiendelea hivi wajukuu zetu watakuwa watumwa tena
Hawa weupe wapuuzi sana