Asante mitandao: Yule Mchina aliyetukana kibaguzi hadi Rais Kenyatta afukuzwa Kenya

Asante mitandao: Yule Mchina aliyetukana kibaguzi hadi Rais Kenyatta afukuzwa Kenya

vp jamani, ina maana kwamba hata hajapokea bando la viboko..?

Huenda wanafidiana kwenye mali zake alizoziacha, kuna jamaa anasema wamemwambia asitumie hata flight zao aka KQ
 
Mchina sijawahi kuwapenda na wala haitatokea. wana dharau sana hao jamaa

Alas!! Wakafanyie dharau zao huko huko Beijing sio hapa. Wachina wakatili sana. Tusishobokee sana misaada yao. Hata Mwalimu alikuwa anawakatalia kwenye baadhi ya mambo.
Nasema heri Wazungu wana hofu ya Allah. Wachina wana ukatili wa asili kwa vile hawajapokea Ukristu wala Uislamu!
Dini hizi mbili kiasi zinapunguza mhemko wa ukatili wa binadamu kwani zote zinasisitiza upendo. Wachina bado ni watu wa kale sana ambao kwao ubinadamu si kitu.
 
  • Thanks
Reactions: Ebe

Wana umafia wa hatari, wanapokua kwenye nchi za watu kidogo wanaogopa ila wakisha zoea kidogo tu wanajiachia na kuonyesha tabia zao. Hapo wamesha jiunganishia urafiki na watu wa dola na sehemu nyingine muhimu serikalini ( rushwa).
 
Wa Tz wanafki sn,ingekua ni Tz mchina kamtukana Rais mngeshangilia sn, mkiongozwa na dada yenu kahaba wa kwa trump
Usituletee siasa chonganishi hapa wewe, kinacho tetewa hapa ni utu wa mwafrika, hayo mambo sijui ya raisi yametoka wapi? Acha ubahili wa akili wewe tumia akili yako kuwaza nje ya box
 
Kuna mchina mmoja demu alinitukana kwenye mazingira ya kazi zangu nikamlazia damu kwa sababu ya ukiritimba wa ofisini kwetu, ila popote nitakapokutana nae mtapata breaking news kama ya wale mgambo wa makonda
 
Haka kalitakiwa kapigwe ban Africa nzima hakuna kukanyaga nchi yeyote.
 
Vichina vibaguzi vya rangi sana kuliko hata wazungu. Wengi hawajastarabika. Ni njaa tu inawaleta Afrika. Ahiiiiiii... Nitukane nikiwa Shanghai sio kwenye ardhi yangu Afrika. Tunataka heshima kwanza la sivyo sepeni na vimisaada vyenu.... Take care!!!
Mkuu huwajui wazungu vizuri kwenye ubaguzi. Nimetembelea China mara kadhaa, ni wakarimu sana na hasa kama unaweza kuongea lugha yao japo kwa kuchapia ndo upendo unazidi. Ukienda miji midogo, ni nadra kukutana na mtu black, sasa hapo kila mtu atatamani apige picha na wewe. Siku moja nilikwenda kunyoa ndevu katika mji mkojawapo province ya Zhejiang, pale saloon kila mtu alikuwa anatamani kuninyoa. Huyo mchina wa Kenya ni mjinga mmoja tu kati ya maelfu wa wachina wastaarabu.
 
View attachment 859611Yule Mchina ambaye clips zake zimesambaa mitandsoni akitukana waafrika kuwa wananuka pamoja na rais wao Mh Uhuru Kenyatta, amepigwa PI(Prohibited Immigrant) na kuondolewa nchini Kenya ndani ya masaa 24 baada ya kukamatwa.

Naipongeza Serikali ya Kenya kwa hatua kali na ya haraka.
Vile vile napongeza matumizi mazuri ya kizalendo kufichua uozo na dharau zinazoonyeshwa na wageni walio na ujinga kichwani.
Aisei ningekuwa rais kwanza asingefunzwa bila kulambwa bakora..!
 
Alas!! Wakafanyie dharau zao huko huko Beijing sio hapa. Wachina wakatili sana. Tusishobokee sana misaada yao. Hata Mwalimu alikuwa anawakatalia kwenye baadhi ya mambo.
Nasema heri Wazungu wana hofu ya Allah. Wachina wana ukatili wa asili kwa vile hawajapokea Ukristu wala Uislamu!
Dini hizi mbili kiasi zinapunguza mhemko wa ukatili wa binadamu kwani zote zinasisitiza upendo. Wachina bado ni watu wa kale sana ambao kwao ubinadamu si kitu.
Mkuu wachina ni mskatili kuliko warabu na wazungu?
 
Mchina anayefanya shughuli zake nchini kenya amesema, wakenya wote sura zao ni kama nyani, (monkey) n.a. kuendelea kusema kwamba hata uhuru Kenyatta naye ni nyani tu,
Kwamba yeye yupo Kenya kwa sababu ya kutafta hela ila wakenya wote ni nyani

Vipi angeyasema kwa jiwe hayo ingekuwaje,
 
Kuna tetesi kuwa huko lock up, huyo mchina alichunishwa mchicha na njemba za kijaluo kabla hajakuwa deported mazee!
 
Back
Top Bottom