Asante mitandao: Yule Mchina aliyetukana kibaguzi hadi Rais Kenyatta afukuzwa Kenya

Umesema 100% true!
 


Time has come for Kenya kuchukua hatua kama hii. SIku nyingi watanzania tulikuwa tunawashangaa Wakenya kunyanyaswa na wazungu ndani ya nchi yao and nothing was being done about it. Hapa Tanzania, a foreigner will never get away with that shit, he or she will be punished by mob justice kabla ya polisi kuingilia. Hii ndiyo tofauti ya Kenya na Tanzania.
 
Umeniwahi,asante
 
vp jamani, ina maana kwamba hata hajapokea bando la viboko..?
 
Tusiiangaliemitandao kwa negative expectations tuu, ni vyema tukajua kwamba ina umuhimu wakepia.
Kweli mkuu, huyu jamaa angeenda polisi kushitaki angepatabusumbufu mkubwa na polisi "wangepoozwa" kikubwa na huyo mchina ili mashitaka yasiwepo.
Lakini matusi hadi Kenyatta kayaona na hatua kali kuchukuliwa.
 
View attachment 859611Yule Mchina ambaye clips zake zimesambaa mitandsoni akitukana waafrika kuwa wananuka pamoja na rais wao Mh Uhuru Kenyatta, amepigwa PI(Prohibited Immigrant) na kuondolewa nchini Kenya ndani ya masaa 24 baada ya kukamatwa.

Kuwa rais akiwa na rangi yetu hakumuondolei hiyo sifa mbaya, hata asingemtaja bado maana ingebaki palepale, kwa maana nyingine amewatukana hata marais wengine wote wenye rangi ya Uhuru Kenyatta wakiwemo jirani zake

Naipongeza Serikali ya Kenya kwa hatua kali na ya haraka.
Vile vile napongeza matumizi mazuri ya kizalendo kufichua uozo na dharau zinazoonyeshwa na wageni walio na ujinga kichwani.


Hawa watu ni marafiki wa mashaka, we have to be careful with them, they hate Africans na kuna agenda za siri nyingi tu isipokuwa hatujazijua.
 
Ingekuwa ametukana bongo angeonja joto la jiwe.
 
Boya huyo chalii wakati wao ndo wana nuka
 
alikamatwa uwe unafuatilia mambo
 

Kawaida ya wakenya hupenda sana shobokea rangi nyeupe , ukiwazoea hata huwezi pata shida. Ingawa sio utamaduni mzuri lakini majirani zetu hawa wamekubuhu katika hilo
 
Afrika tukiwa serious, hawa jamaa wataanza kutuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…