Asante mke wangu kuniletea mapacha, wadau nisaidieni kuwapa majina (yawe ya members wa JF)

NIKO SERIOUS,TENA SANA.

Hatimaye yamekuwa baada ya miezi 9 na siku kama 3 hivi,wife kaniletea mapacha wawilim, wakike na wakiume, wenye afya nzuri.

Mara ya kwanza nilifikiria kuwapa majina ya vyama viwili vikubwa vya siasa nchini lkn nilipofikiria suala la hivi vyama viwili kukosa msimamo kwenye uchaguzi uliopita kuhusu Lowassa nimeamua kuachana na huo mpango kabisa (nataka wanangu wawe na msimamo thabiti)

Kutokana na mapenzi yangu ya dhati kwa JF nimeamua kutafuta ID mbili za kufa mtu kutoka humu ndani ili niwape hawa wanangu,

Mdau majina gani hasa yatawafaa hawa mapacha wangu,maoni yenu ni muhimu sana wadau

NB:Tafadhali jina hilo lisiwe mshana jr

4de04b655cc1447b60118e5c4222ae50.jpg
Mkuu mtoto wa kiume mpe jina la Yeezus au HR666 atakuwa genius balaa
 
Wa kiume mpe jina la Mafia
 
Shilole na Nuh au wakilia kuonesha hawayataki basi jaribu Man Fongo na Chiku K
 
Back
Top Bottom