Asante mke wangu kuniletea mapacha, wadau nisaidieni kuwapa majina (yawe ya members wa JF)

NIKO SERIOUS,TENA SANA.

Hatimaye yamekuwa baada ya miezi 9 na siku kama 3 hivi,wife kaniletea mapacha wawilim, wakike na wakiume, wenye afya nzuri.

Mara ya kwanza nilifikiria kuwapa majina ya vyama viwili vikubwa vya siasa nchini lkn nilipofikiria suala la hivi vyama viwili kukosa msimamo kwenye uchaguzi uliopita kuhusu Lowassa nimeamua kuachana na huo mpango kabisa (nataka wanangu wawe na msimamo thabiti)

Kutokana na mapenzi yangu ya dhati kwa JF nimeamua kutafuta ID mbili za kufa mtu kutoka humu ndani ili niwape hawa wanangu,

Mdau majina gani hasa yatawafaa hawa mapacha wangu,maoni yenu ni muhimu sana wadau

NB:Tafadhali jina hilo lisiwe mshana jr

4de04b655cc1447b60118e5c4222ae50.jpg
Hongera sana mkuu.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Asa mamkwe mimi nimefanya nini[emoji22] .
Haya mambo madogo yanazungumzika
Nikuletee zawadi gani!! anapendelea nini vile na yeye nimletee
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] tapeli weeee!!!
 
NIKO SERIOUS,TENA SANA.

Hatimaye yamekuwa baada ya miezi 9 na siku kama 3 hivi,wife kaniletea mapacha wawilim, wakike na wakiume, wenye afya nzuri.

Mara ya kwanza nilifikiria kuwapa majina ya vyama viwili vikubwa vya siasa nchini lkn nilipofikiria suala la hivi vyama viwili kukosa msimamo kwenye uchaguzi uliopita kuhusu Lowassa nimeamua kuachana na huo mpango kabisa (nataka wanangu wawe na msimamo thabiti)

Kutokana na mapenzi yangu ya dhati kwa JF nimeamua kutafuta ID mbili za kufa mtu kutoka humu ndani ili niwape hawa wanangu,

Mdau majina gani hasa yatawafaa hawa mapacha wangu,maoni yenu ni muhimu sana wadau

NB:Tafadhali jina hilo lisiwe mshana jr

4de04b655cc1447b60118e5c4222ae50.jpg
Kama ni kweli watoto hawa ni wako si busara kuwaanika namna hii na ni kinyume kabisa kwa watoto hao tambua kwamba picha ikisha ingia mtandaoni huna hati miliki nayo .kuna mwingine kapewa talaka huko kwa kupost pichaa za harusi kwa marafiki zake nadhan haya si matumizi sahihi ya mitandao lakin pi katika ulimwengu wa giza picha ya mtoto mchanga hutumiwa na washirikina kuchukua nyota changa ya mtoto anayo zaliwa nayo hivyo si jambo la ajabu mtoto wako kuadamwa na mikosi na kuto kufanikiwa akikua
 
Hatutaki majina ya kizungu wala nini. Tunataka ya hapa hapa JF na kuna mapendekezo mazuri tu mf. Nyani Ngabu na Faiza Foxy, Le Mutuz na Mange Kimambi, Funza Dume na Lady Chameleon n.k. Hakukosea aliyesema JF is never boring! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
JAMAL NA JAMILA AU JIMMY NA JENNY AU EMANUEL NA EMMILY AU HABIB NA HABIBA . Yore hayo ni majina mazuri NA hawatayajutia. Usiwape majina ya wanasiasa Wala vyama havistahili maisha ya wanao
 
NIKO SERIOUS,TENA SANA.

Hatimaye yamekuwa baada ya miezi 9 na siku kama 3 hivi,wife kaniletea mapacha wawilim, wakike na wakiume, wenye afya nzuri.

Mara ya kwanza nilifikiria kuwapa majina ya vyama viwili vikubwa vya siasa nchini lkn nilipofikiria suala la hivi vyama viwili kukosa msimamo kwenye uchaguzi uliopita kuhusu Lowassa nimeamua kuachana na huo mpango kabisa (nataka wanangu wawe na msimamo thabiti)

Kutokana na mapenzi yangu ya dhati kwa JF nimeamua kutafuta ID mbili za kufa mtu kutoka humu ndani ili niwape hawa wanangu,

Mdau majina gani hasa yatawafaa hawa mapacha wangu,maoni yenu ni muhimu sana wadau

NB:Tafadhali jina hilo lisiwe mshana jr

4de04b655cc1447b60118e5c4222ae50.jpg

Angela meckel/ vladimir Putin
Donald trump / Hillary Clinton
 
miss chaga na Kiranga
 
Back
Top Bottom