Asante Mo Dewji kwa kufanyia kazi maoni yangu kuhusu Sportspesa

Asante Mo Dewji kwa kufanyia kazi maoni yangu kuhusu Sportspesa

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Screenshot_20210322-170647_Chrome.jpg


Ndoto yetu ni Simba Sc iwe club yenye mapato makubwa ili iweze kufanya ushindani katika usajili
 
Betting companies zimekuwa nyingi nchini. Kila company udhamini timu yake washindane kutoa pesa.
Kama enzi TBL kampuni ya beer. Kwa nini mmoja asidhamini Simba na mwingine Yanga kati ya TBL na Serengeti?
upo sahihi mkuu. Yanga na Simba Sc zinahitaji akili kubwa baada ya mkataba wa Sportpesa kuisha. Zinanyonywa thamani zao ni kubwa kuliko hiyo mikataba
 
Hawa sportpesa mimi ndio siwapendi kabsa kwakweli, wahuniwahuni tu
 
Kwa fanbase tuliyonayo na ukubwa wa brand yetu Afrika na duniani kit sponsorship haitakiwi kuwa chini ya 5 billion Tsh kwa mwaka

Na hiyo ni estimation ya chini kabisa
 
Mo mjanja mjanja sana huyu..kaandika sports Pesa badala ya SportPesa ili mambo yakivurugika apate kichaka cha kutokea..
Naona katibu mkuu mzee wa tumbo anafanya kazi!! Mwakalebela akiwa kazini
 
View attachment 1731798

Ndoto yetu ni Simba Sc iwe club yenye mapato makubwa ili iweze kufanya ushindani katika usajili
Kulinganisha udhamini wa Man Utd versus ule anaopata Simba kutoka kwa wadhamini ni sawa sawa na kulinganisha budget ya huduma ya Afya wanayotenga Serikali ya Marekani $4.01 trillion kwa mwaka kwa wananchi wao dhidi ya $95.6 million inayotengwa na wizara ya Afya ya serikali ya Tanzania kwa walalahoi sisi .MO hapo anakosea saana .
 
Kweli kiingereza kigumu,sio kwamba Manchester inataka kuidhamini Simba kwenye Jezi bali Manchester imeingia mkataba wa miaka 5 na atalipwa hizo hela.
Hujampa jib lake.MPEsasa,anataka kujua kwann simba ilambe hizo dola kutoka Man U.
 
Back
Top Bottom