Asante Mo Dewji kwa kufanyia kazi maoni yangu kuhusu Sportspesa

Kazi mojawapo ya ceo ni kuhakikisha club inapata mikataba kulingana na thamani yake.
Tukiangalia fanbase ya Simba hata bilioni 20 alizoweka mo hazilingani na thamani ya club ya Simba.
Mo aache uswahili atafute wadhamini kulingana na thamani ya Simba na sio kulalamika kazi ya kulalamika atuachie sisi washabiki na afadhali sportpesa wanatoa kiasi hicho tujiulize yeye mwenyewe mo foundation, mo extra na Vodacom pesa inayowekwa kwenye jezi za Simba inalingana na thamani ya Simba.
 
Mkataba mlikubali awali saev mnalalama, subirini uishe
 
Kazi mojawapo ya ceo ni kuhakikisha club inapata mikataba kulingana na thamani yake.
Tukiangalia fanbase ya Simba hata bilioni 20 alizoweka mo hazilingani na thamani ya club ya Simba.
Mo aache uswahili atafute wadhamini kulingana na thamani ya Simba na sio kulalamika kazi ya kulalamika atuachie sisi washabiki na afadhali sportpesa wanatoa kiasi hicho tujiulize yeye mwenyewe mo foundation, mo extra na Vodacom pesa inayowekwa kwenye jezi za Simba inalingana na thamani ya Simba.
Sometimes changes huwa zinachukua muda mrefu kulingana na michakato inavyoenda. Mtu hasa mfanyabiashara hawezi kuweka bil.20 kwa mazingira ya sasa ya Simba ambapo kumejaa mchwa pale.

Nafikiri wewe ni kiongozi pale Simba kama sio basi ni mpenzi wa club tofauti na Simba kama yote sio basi unafuata mkumbo na kama sivyo nikuulize tu ni lini Simba iliwahi kupata mafanikio ikiwa haina hawa wadhamini wa KI-ASIA?

Mashabiki tunataka matokeo mazuri uwanjani na maendeleo endelevu ya club yetu,je wewe wataka nini au migogoro.

Wasema Simba inathamani kubwa sana,tutajie hio thamani.
 
Kweli kiingereza kigumu,sio kwamba Manchester inataka kuidhamini Simba kwenye Jezi bali Manchester imeingia mkataba wa miaka 5 na atalipwa hizo hela.
Ndo' umeandika nini sasa hapa!

Mkataba wa kufanya nini, nani anamlipa mwenzake!?
 
Sometimes changes huwa zinachukua muda mrefu kulingana na michakato inavyoenda. Mtu hasa mfanyabiashara hawezi kuweka bil.20 kwa mazingira ya sasa ya Simba ambapo kumejaa mchwa pale.

Nafikiri wewe ni kiongozi pale Simba kama sio basi ni mpenzi wa club tofauti na Simba kama yote sio basi unafuata mkumbo na kama sivyo nikuulize tu ni lini Simba iliwahi kupata mafanikio ikiwa haina hawa wadhamini wa KI-ASIA?

Mashabiki tunataka matokeo mazuri uwanjani na maendeleo endelevu ya club yetu,je wewe wataka nini au migogoro.

Wasema Simba inathamani kubwa sana,tutajie hio thamani.
Soma uelewe sio unakimbilia kucomment
 
Mo mjanja mjanja sana huyu..kaandika sports Pesa badala ya SportPesa ili mambo yakivurugika apate kichaka cha kutokea..
Legally there is something called "innuendo"
Kama mo angesema chochote kinacho athiri biashara ya sportpesa hata kwa kukosea speling under the doctrine of innuendo mo could still be liable.
 
Kwahiyo mkuu Mo pale amekosea tu kuandika?
 
Kulinganisha udhamini wa Man Utd versus ule anaopata Simba kutoka kwa wadhamini ni sawa sawa na kulinganisha budget ya huduma ya Afya wanayotenga Serikali ya Marekani $4.01 trillion kwa mwaka kwa wananchi wao dhidi ya $95.6 million inayotengwa na wizara ya Afya ya serikali ya Tanzania kwa walalahoi sisi .MO hapo anakosea saana .
Simba ya sasa sio kama ya zamani ina mahitaji makubwa pia inafanya vizuri kwenye mashindano ya Africa mzamini yeyote hatapata wasiwasi kuidhamini Simba anachokifanya Mo ni kuongeza pressure kwa Sportpesa waongeze mpunga pia anawavutia wadhamini wapya waje kuweka pesa pale billion 5 kwa mwaka ndogo sana
 
yaani nyie kunguni hata hili mnaona nogwa. hii mada ni zaidi ya ushabiki wa Simba na Yanga,punguza ujinga
Kabisa mkuu we angalia msimu huu Misomane alimtaka Sirino yule wa Mamelodi aende naye pale Al Ahly wakapeleka arround Tsh 5Bn mamelodi wakakataa wakataka arround 7Bn ....Football is now bussiness in Africa
 
Kulinganisha udhamini wa Man Utd versus ule anaopata Simba kutoka kwa wadhamini ni sawa sawa na kulinganisha budget ya huduma ya Afya wanayotenga Serikali ya Marekani $4.01 trillion kwa mwaka kwa wananchi wao dhidi ya $95.6 million inayotengwa na wizara ya Afya ya serikali ya Tanzania kwa walalahoi sisi .MO hapo anakosea saana .
Anakosea kusema Simba haiingizi chochote na kutolea mfano kwa MAN U?

Wapi kalinganisha?
 
Simba ya sasa sio kama ya zamani ina mahitaji makubwa pia inafanya vizuri kwenye mashindano ya Africa mzamini yeyote hatapata wasiwasi kuidhamini Simba anachokifanya Mo ni kuongeza pressure kwa Sportpesa waongeze mpunga pia anawavutia wadhamini wapya waje kuweka pesa pale billion 5 kwa mwaka ndogo sana
Sawa lakini Style ambayo amekuwa akiitumiwa ya kutafuta "huruma kwa wananchi'' haikubaliki kabisa tunajua nini anacholenga ndio maana amaifanya hii issue public kwani anajua ni aina gani ya wapenzi wa soka la Tanzania wanavyowaza na kufikiri. Alitumia njia hiii pia kumuondoa Nkwabi aliyekuwa Mwenyekiti wa Simba (upande wa wanachama) kwani anajua angetumia vikao asingefanikisha lengo lake la kuonekana yeye ndiye mshindi....Bado nasimamia hoja yangu kuwa MO kakosea na wakati mwingine yeye ndiye chanzo cha mtafaruku..kama anavyosemaga kuwa yeye sio kama msemaji wa Club ya Simba Haji anayependa kuropoka lakini na yeye ajifunze kuwa na simile linapukuja swala linalohusu maslahi ya Club asiwe mropokaji pia...
 
Alitaka msaada wa Huruma ya wananchi baada jiwe kutaka kumfanyia vigisu vigisu ikabidi itumike option hiyo, vingenevyo leo simba ingekuwa kama yanga.
 
Back
Top Bottom