Sometimes changes huwa zinachukua muda mrefu kulingana na michakato inavyoenda. Mtu hasa mfanyabiashara hawezi kuweka bil.20 kwa mazingira ya sasa ya Simba ambapo kumejaa mchwa pale.
Nafikiri wewe ni kiongozi pale Simba kama sio basi ni mpenzi wa club tofauti na Simba kama yote sio basi unafuata mkumbo na kama sivyo nikuulize tu ni lini Simba iliwahi kupata mafanikio ikiwa haina hawa wadhamini wa KI-ASIA?
Mashabiki tunataka matokeo mazuri uwanjani na maendeleo endelevu ya club yetu,je wewe wataka nini au migogoro.
Wasema Simba inathamani kubwa sana,tutajie hio thamani.