Asante Mungu nimepata mwanamke mwenye hisia kali za imani ya kweli katika mapenzi

Zinaishaga kama movie vile pia, ila kila la kheri mkuu katika dimbwi zito la mahaba na mrembo huyo.
 
Sio kila busu Ni upendo,Hata Yuda alimbusu Yesu...kilichofuata unakijua nadhani.
 
Huyo atakua na chai mlima ,tena ya Bukoba toka mbioooo.
 
Kampeni ya kataa ndoa, afya ya akili ni muhimu kuliko ndoa inapungua tu
Chaputa kinapungua nguvu
Chawabata kinapungua wajumbe
Sema KE wanajitahidi kweli
 
Mabinti wanataka ndoa kwa gharama yoyote ile. Mtego huo.
 
Uliposema kusema ana CPA na anapofanya kazi ndo nikajua unahitaji mtu mzima wakukusaidia kuchagua mke..
 
hapo umepigwa
 
Jini ilo linatafuta ndoa kabla ya mwezi mtukufu enewei usishau kipis cha bange mfukoni goodkuck
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…