Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Asante mama kila unachoshika kinazaa matunda bila ubabe Wala mbwembwe za eti kishindo Cha jpm tofauti mtangulizi wako ambaye kitu kidogo tu kelele nyingi.
Tumeona watalii wanavyomwagika nchini na bila shaka watanzania vinana maskini wameanza kuona umuhimu wako baada ya kilazimishwa kuwa machinga kana kwamba ulisoma kwa kujiandaa kuja kuwamachinga.
Pili uwekezaji umeongeza Sana kiasi ambacho mabank Sasa yanaajiri vijana na ajira zimeanza kumwagika Sana Tena kwa kasi.
Bado kitu kimoja tu, ajiri walimu na madactari ambao wametelekezwa miaka mitano na kuambiwa wakiajiri wakileta za kuletwa wanapotezwa na kutekwa na watu wasiojulikana.
Thank you mama.