Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Mbona wakati hukusema?Asante mama kila unachoshika kinazaa matunda bila ubabe Wala mbwembwe za eti kishindo Cha jpm tofauti mtangulizi wako ambaye kitu kidogo tu kelele nyingi.
Tumeona watalii wanavyomwagika nchini na bila shaka watanzania vinana maskini wameanza kuona umuhimu wako baada ya kilazimishwa kuwa machinga kana kwamba ulisoma kwa kujiandaa kuja kuwamachinga.
Pili uwekezaji umeongeza Sana kiasi ambacho mabank Sasa yanaajiri vijana na ajira zimeanza kumwagika Sana Tena kwa kasi.
Bado kitu kimoja tu, ajiri walimu na madactari ambao wametelekezwa miaka mitano na kuambiwa wakiajiri wakileta za kuletwa wanapotezwa na kutekwa na watu wasiojulikana.
Thank you mama.
Asante mama kila unachoshika kinazaa matunda bila ubabe Wala mbwembwe za eti kishindo Cha jpm tofauti mtangulizi wako ambaye kitu kidogo tu kelele nyingi.
Tumeona watalii wanavyomwagika nchini na bila shaka watanzania vinana maskini wameanza kuona umuhimu wako baada ya kilazimishwa kuwa machinga kana kwamba ulisoma kwa kujiandaa kuja kuwamachinga.
Pili uwekezaji umeongeza Sana kiasi ambacho mabank Sasa yanaajiri vijana na ajira zimeanza kumwagika Sana Tena kwa kasi.
Bado kitu kimoja tu, ajiri walimu na madactari ambao wametelekezwa miaka mitano na kuambiwa wakiajiri wakileta za kuletwa wanapotezwa na kutekwa na watu wasiojulikana.
Thank you mama.
Wewe taahira kipindi cha Magufuli tumeshuhudi ndege kibao zinaleta watalii! Punguza uchawa! Utalii umeharibiwa na ugonjwa wa corona!Asante mama kila unachoshika kinazaa matunda bila ubabe Wala mbwembwe za eti kishindo Cha jpm tofauti mtangulizi wako ambaye kitu kidogo tu kelele nyingi.
Tumeona watalii wanavyomwagika nchini na bila shaka watanzania vinana maskini wameanza kuona umuhimu wako baada ya kilazimishwa kuwa machinga kana kwamba ulisoma kwa kujiandaa kuja kuwamachinga.
Pili uwekezaji umeongeza Sana kiasi ambacho mabank Sasa yanaajiri vijana na ajira zimeanza kumwagika Sana Tena kwa kasi.
Bado kitu kimoja tu, ajiri walimu na madactari ambao wametelekezwa miaka mitano na kuambiwa wakiajiri wakileta za kuletwa wanapotezwa na kutekwa na watu wasiojulikana.
Thank you mama.
Hana hata takwimu anapwatuka tu! Athletes hapa takwimu za utalii tokea Kikwete ,Magufuli na Samia!Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja waje watu wa utalii..hao watalii wengi wanatoka wapi hahahah
Ndege siyo utalii mdogo wangu. Unaweza leta ndege just for personal glory tu. Utalii ni hospitality kipindi Cha jpm kulikuwa na kupotezwa na kutekana Sasa mtalii aje kurisk maisha yake.Wewe taahira kipindi cha Magufuli tumeshuhudi ndege kibao zinaleta watalii! Punguza uchawa! Utalii umeharibiwa na ugonjwa wa corona!
Ebu acha ujinga Ikitotanzila.Asante mama kila unachoshika kinazaa matunda bila ubabe Wala mbwembwe za eti kishindo Cha jpm tofauti mtangulizi wako ambaye kitu kidogo tu kelele nyingi.
Tumeona watalii wanavyomwagika nchini na bila shaka watanzania vinana maskini wameanza kuona umuhimu wako baada ya kilazimishwa kuwa machinga kana kwamba ulisoma kwa kujiandaa kuja kuwamachinga.
Pili uwekezaji umeongeza Sana kiasi ambacho mabank Sasa yanaajiri vijana na ajira zimeanza kumwagika Sana Tena kwa kasi.
Bado kitu kimoja tu, ajiri walimu na madactari ambao wametelekezwa miaka mitano na kuambiwa wakiajiri wakileta za kuletwa wanapotezwa na kutekwa na watu wasiojulikana.
Thank you mama.
Umeandika kwa kuwaza kupitia makalio,huku Bhange ikiwa mdomoniKipindi cha mwendakuzimu watalii walikuwa wanaogopa kuja TZ maana jamaa angeweza kuwateka halafu akataka serikali zao zitoe ransom ili awaachie kama alivyofanya kwa wafanyabiashara wakubwa akiwemo Mo.
Sasa Corona si ilikuwa enzi za Magu?Wewe taahira kipindi cha Magufuli tumeshuhudi ndege kibao zinaleta watalii! Punguza uchawa! Utalii umeharibiwa na ugonjwa wa corona!
Ndege gani ,,utalii ulikufa ikabaki propaganda za uzalendo 😁😁.Wewe taahira kipindi cha Magufuli tumeshuhudi ndege kibao zinaleta watalii! Punguza uchawa! Utalii umeharibiwa na ugonjwa wa corona!
Nami nasema mama apewe mitano tena.... atake asitake.Ndege gani ,,utalii ulikufa ikabaki propaganda za uzalendo 😁😁.
Samia ni Rais wa vitendo na sio blaaa blaaa za kujisifia na kusifiwa ujinga👇
View attachment 2091970
HahahahaaaaaKipindi cha mwendakuzimu watalii walikuwa wanaogopa kuja TZ maana jamaa angeweza kuwateka halafu akataka serikali zao zitoe ransom ili awaachie kama alivyofanya kwa wafanyabiashara wakubwa akiwemo Mo.
Wapiga zumari wa MandarinNami nasema mama apewe mitano tena.... atake asitake.
Mama anaupiga mwingi
Awamu ya 5 hakuna anayeweza kuwaamini maana progaganda za kujisifia zilizidi,wanasema ndege zimefurika huku wenye mahoteli wakiyageuza Hostel.Hizi stori za kufurika watalii kila awamu tumeshazizoea.
Hii ilikua 2020 KIA. Awamu ya 5.
Mengine yote ilikua ni mbwembwe tu..mwenye akili anajua wewe ni graduate mwalimu..point yako kuu ni ile paragraph ya mwisho ya kuomba ajira..anyway Mungu akupe hitaji lako..ila tafuta pesa usitafute ajira.Asante mama kila unachoshika kinazaa matunda bila ubabe Wala mbwembwe za eti kishindo Cha jpm tofauti mtangulizi wako ambaye kitu kidogo tu kelele nyingi.
Tumeona watalii wanavyomwagika nchini na bila shaka watanzania vinana maskini wameanza kuona umuhimu wako baada ya kilazimishwa kuwa machinga kana kwamba ulisoma kwa kujiandaa kuja kuwamachinga.
Pili uwekezaji umeongeza Sana kiasi ambacho mabank Sasa yanaajiri vijana na ajira zimeanza kumwagika Sana Tena kwa kasi.
Bado kitu kimoja tu, ajiri walimu na madactari ambao wametelekezwa miaka mitano na kuambiwa wakiajiri wakileta za kuletwa wanapotezwa na kutekwa na watu wasiojulikana.
Thank you mama.
Sijui una maana gani kwa kauli yako maana more than 85% ya viongozi wa sasa walikua awamu iliyopita.Awamu ya 5 hakuna anayeweza kuwaamini maana progaganda za kujisifia zilizidi,wanasema ndege zimefurika huku wenye mahoteli wakiyageuza Hostel.
Lakini awamu ya Samia ni maneno yanayoonekana