Msumbiji sio jirani yetu. Nyinyi Msumbiji ni jirani yenu ila kwa uwoga wenu mnajificha chini ya kitanda. Wacha jeshi la Rwanda lisafishe eneo hilo na kung'oa kwekwe zote.Aaah hivi kweli Kenya nao walituma jeshi lao eeh hongereni kwa kuwasaidia msumbiji.
Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
Wataalam wa hizi kazi wapo wanapiga kazi achana na hii takataka ya kikunya.Unawakumbuka M23!!waliokuwa wanaleta balaa Congo?Rwanda ilikuwa wapi wakati huo?mpaka TPDF,walipotia timu,na kuweka Hari shwali.
Jamaa watakwambia kilichokuta magaidi kule msumbiji hakisemekiMsumbiji sio jirani yetu. Nyinyi Msumbiji ni jirani yenu ila kwa uwoga wenu mnajificha chini ya kitanda. Wacha jeshi la Rwanda lisafishe eneo hilo na kung'oa kwekwe zote.
Licha ya nchi fulani kujificha chini ya kitanda na kukataa kutuma jeshi msumbiji, jeshi la Rwanda jana lilitangaza kwamba limeikomboa port ya Mocimboa da Praia kutoka kwa magaidi. Pia wamekomboa airport na hospitali katika eneo hilo. Bila shaka Jeshi la Rwanda linawapa viboko hawa watoto wadogo watundu. Rwanda endelea kukomboa maeneo zaidi ya Msumbuji. Waoga mnona jinsi Rwanda wanavyofanya kazi? Mjifunze kutoka kwao
Kumbe we ngedere unakumbukumbu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ya yale tunayo waambia kule kibiti magaidi hawana hamu na jwtz tulikuwa tunawachoma mishikaki tunakula na ugali pamoja nao ,,,,mnakamatwa magaidi kama 20 mnakatwa mikono inachomwa mishikaki kisha tunakula na ugali pamoja naoJamaa watakwambia kilichokuta magaidi kule msumbiji hakisemeki
Msumbiji sio jirani yetu. Nyinyi Msumbiji ni jirani yenu ila kwa uwoga wenu mnajificha chini ya kitanda. Wacha jeshi la Rwanda lisafishe eneo hilo na kung'oa kwekwe zote.
Ni sawa. Umejieleza vizuri.1. Baadhi ya magaidi walioko Mozambique walikuwepo maeneo ya kusini mwa Tanzania.
Ni baada ya kufurumushwa huku Tanzania ndipo walipozidisha vurugu na uharibifu huko Mozambique.
Kwa hiyo Tanzania lazima ihakikishe kwanza magaidi hawana nafasi ya kurudi huku na ku-create a safe haven and rear base in our territory.
Kwa hiyo kama hatuonekani Mozambique itakuwa ni kwasababu hizo nilizozieleza hapo juu.
2. Tanzania huwa ni wasiri sana linapokuja suala la military deployment, especially outside our territory.
Yaani ukisikia askari wa Tanzania yuko nje basi wanao ripoti ni watu wa nje, sio vyombo vya habari vya Tanzania.
Kwa mfano, miaka ya 90 Tanzania iliwahi kupeleka military instructors DRC lakini haikuripotiwa mahali popote.
Pia kulikuwa na walinzi wa Rais Desire Kabila toka Tanzania, lakini haikutangazwa popote. Watanzania tuliona kwenye picha tu kijana aliyepata kuwa mlinzi wa Mwalimu Nyerere alikuwa akimlinda Rais Desire Kabila.
Ni mission moja tu, ya Eastern DRC, ndio nimeona ushiriki wa askari wa Tanzania umetangazwa, lakini naamini ni kwasababu ni mission ya United Nations.
Kwa hiyo, inawezekana Watanzania wako Mozambique is some capacity lakini kama ilivyo utamaduni wetu huwa hatutangazi.
Vita mnavyoviweza ni kusambaratisha wahuni na wapinzani tu[emoji1787][emoji1787]Kumbe we ngedere unakumbukumbu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ya yale tunayo waambia kule kibiti magaidi hawana hamu na jwtz tulikuwa tunawachoma mishikaki tunakula na ugali pamoja nao ,,,,mnakamatwa magaidi kama 20 mnakatwa mikono inachomwa mishikaki kisha tunakula na ugali pamoja nao
Sio kila operation ya kijeshi lazima iwekwe public , ushaambiwa ni magaidi , hapo ujue Kuna inshu ya National security piaLicha ya nchi fulani kujificha chini ya kitanda na kukataa kutuma jeshi msumbiji, jeshi la Rwanda jana lilitangaza kwamba limeikomboa port ya Mocimboa da Praia kutoka kwa magaidi. Pia wamekomboa airport na hospitali katika eneo hilo. Bila shaka Jeshi la Rwanda linawapa viboko hawa watoto wadogo watundu. Rwanda endelea kukomboa maeneo zaidi ya Msumbuji. Waoga mnona jinsi Rwanda wanavyofanya kazi? Mjifunze kutoka kwao
Wapo kitambo hukoWataalam wa hizi kazi wapo wanapiga kazi achana na hii takataka ya kikunya.
According to news publication Noticias, the aircraft made several flights between Sunday and Tuesday, delivering weapons and troops.
Unawakumbuka M23! Waliokuwa wanaleta balaa Congo?Rwanda ilikuwa wapi wakati huo?mpaka TPDF, walipotia timu,na kuweka Hari shwali.