Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Magaidi wa CCM hapa kwetu eti ni CHADEMA!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba Mbowe ndio mkuu wa magaidi,😄😄😄Magaidi wa CCM hapa kwetu eti ni CHADEMA!
Dah we jamaa unateseka sanaa etiiSisi jeshi letu ni kwajili ya kumkamaat Freeman Mbowe.....ndio mwisho wwa akili zao na uwezo. Congrats kwa Ndugu zetu Rwanda
Aaah hivi kweli Kenya nao walituma jeshi lao eeh hongereni kwa kuwasaidia msumbiji.
Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
Kaka Kayla Mission yeyotee huwa huwezi kukurupuka na kupeleka Jeshi tuu.Asked about updates as regards the expected SADC forces deployment, Chume noted that only Rwanda and Mozambique were currently fighting the terrorists.
"SADC is not here (yet) in the area of operations. When they get here, we will operate with them. There is a place for everyone because we want to liberate Cabo Delgado."
Hio ni leo,huyo aliyesema hayo Ni Maj Gen Christorão Artur Chume, a commander of the Mozambique Armed Defence Forces (FADM).
Naona Sadc inataka Ije iibuke mwishoni ichukue credits za ushindi yaani Kama vile steringi wa kwny movie za kihindi.,[emoji1][emoji1][emoji1]
Acha Bahima wafanye kazi kule. Maana wengine wangeenda, ungeshangaa pengine viongozi wa Renamo ndio wangekamatwa kwa ugaidi, na kuyaacha Alsababu yakijitanua vizuri. Who knows?Sisi jeshi letu ni kwajili ya kumkamaat Freeman Mbowe.....ndio mwisho wwa akili zao na uwezo. Congrats kwa Ndugu zetu Rwanda
Sasa hapo Sadc inapeleka jeshi kufanya Nini mkuu?Bado wanachunguza tu miaka 4 sasa tangu magaidi waanze kufanya yao mpk leo.Kaka Kayla Mission yeyotee huwa huwezi kukurupuka na kupeleka Jeshi tuu.
Lazima hatua zifwatwee ikiwemo na uchunguzi nguvu ya adui pamoja na vifaa.
So mambo haya ni nyeti ndani ya serikali yeyotee
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hiyo si ni SADC, nilitegemea mtangulie maana hao jamaa waliwahi kuchinja wanavijiji wenu. Lakini kwa kweli Kagame ameonyesha ni mwamba Afrika hii.....
Rwanda si mwanachama
![]()
Rwanda's military aid for Mozambique rattles SADC – DW – 07/13/2021
Rwanda deployed a joint force of army and police to Mozambique's troubled northern province of Cabo Delgado to help fight "Islamic State"-linked militants. Not everyone is happy about Kigali's move.m.dw.com
Yaweza kuwa kweli maana nchi huwa zina share baadhi ya mambo ya kiusalama hata hivyo sidhani kuwaTanzania inasita au kuogopa kupeleka jeshi huko maana ingekuwa hivyo basi eneo la Mtwara hadi Kibiti lingekuwa linakaliwa na hao magaidi mpaka muda huu maana target kubwa ya kwanza ya magaidi hao haikuwa msumbiji bali ni Tanzania na pia siasa za mambo haya zina mengi nyuma yakeUkute Tz ndio tumefanikisha kila jambo, ni vile tu jeshi letu haliweki matangazo. Na niijuavyo Tanzania hizo kwere za Msumbiji itakuwa imezivalia njuga kiasawasawa.
Wanyarwanda wanafanya jambo ili watengenezw fursa. Tz tunarudisha amani iliyopotea.
Kagame kaidharirisha sana SADC... ameweka sawa.
Report zinaonyesha hao magaidi walikua wanakimbilia Tz na huko boarder wanakutana na Moto wa Jw wanawamaliza chap chap.Yaweza kuwa kweli maana nchi huwa zina share baadhi ya mambo ya kiusalama hata hivyo sidhani kuwaTanzania inasita au kuogopa kupeleka jeshi huko maana ingekuwa hivyo basi eneo la Mtwara hadi Kibiti lingekuwa linakaliwa na hao magaidi mpaka muda huu maana target kubwa ya kwanza ya magaidi hao haikuwa msumbiji bali ni Tanzania na pia siasa za mambo haya zina mengi nyuma yake
Tanzania - United States Department of State
Unajuaje Mpwa! Au siku hizi tunapangiana cha kusema?
Licha ya nchi fulani kujificha chini ya kitanda na kukataa kutuma jeshi msumbiji, jeshi la Rwanda jana lilitangaza kwamba limeikomboa port ya Mocimboa da Praia kutoka kwa magaidi. Pia wamekomboa airport na hospitali katika eneo hilo. Bila shaka Jeshi la Rwanda linawapa viboko hawa watoto wadogo watundu. Rwanda endelea kukomboa maeneo zaidi ya Msumbuji. Waoga mnona jinsi Rwanda wanavyofanya kazi? Mjifunze kutoka kwao
HAWAJIELEWI, UKIMWAMSHA ALIYELALA UTALALA WEWE MKUU.Anaesema au kuamini ni RWANDA pekee ndio imepeleka jeshi huko msumbiji ajichome kidole katikati ya matyako yake. TPDF ndio warlord and intelligence giant EAST and CENTRAL AFRICA. Anaupiga mwingi kimya kimya matangazo tumewaachia wakenya na banyarwanda.
Nyinyi ni vijana wetu saidieni na ninyi sisi ndo roho ya Afrika mashariki na kusini mwa jangwa la Sahara tumeyatumia majeshi yetu muda mrefu sasa nanyi wadogo zetu sasa Fanyeni Kazi nasi tupumzike bhana mazoeziMsumbiji sio jirani yetu. Nyinyi Msumbiji ni jirani yenu ila kwa uwoga wenu mnajificha chini ya kitanda. Wacha jeshi la Rwanda lisafishe eneo hilo na kung'oa kwekwe zote.
Licha ya nchi fulani kujificha chini ya kitanda na kukataa kutuma jeshi msumbiji, jeshi la Rwanda jana lilitangaza kwamba limeikomboa port ya Mocimboa da Praia kutoka kwa magaidi. Pia wamekomboa airport na hospitali katika eneo hilo. Bila shaka Jeshi la Rwanda linawapa viboko hawa watoto wadogo watundu. Rwanda endelea kukomboa maeneo zaidi ya Msumbuji. Waoga mnona jinsi Rwanda wanavyofanya kazi? Mjifunze kutoka kwao