Asante Rwanda kwa kusaidia Msumbiji. Wachana na Waoga wengine waliokataa kutuma jeshi huko

Asante Rwanda kwa kusaidia Msumbiji. Wachana na Waoga wengine waliokataa kutuma jeshi huko

Hehehe!! Huwa nacheka sana pale mnajisifia kupga wale watoto wa M23 and wanywa gongo wa Kibiti, siku mkipambana na mashababi bin shetwan wenyewe wakujilipua mabomu ndio mje muongee......
Nyie mumeweka wanajeshi wenu wa kuonekana tu kwenye matamasha ya kitaifa wakipasua matofali.....
🤣 🤣 🤣 Wapasua matofali kwa bichwa.
 
Hehehe!! Huwa nacheka sana pale mnajisifia kupga wale watoto wa M23 and wanywa gongo wa Kibiti, siku mkipambana na mashababi bin shetwan wenyewe wakujilipua mabomu ndio mje muongee......
Nyie mumeweka wanajeshi wenu wa kuonekana tu kwenye matamasha ya kitaifa wakipasua matofali.....
Hakuna gaidi anatamani kukanyaga Tanzania, hao wa kibiti Ndio wamekimbilia Mozambique .
Intelijensia na counter attach ya Hapa Sio mchezo .
M23 zilikuwa nchi zile wakitumia kivuli cha m23
Sasa kuna magaidi wengine wanaitwa adf wanashughulikiwa.
Sijamuelewa bado muheshimiwa Uhuru kupeleka jeshi DRC wakati magaidi mara kwa mara wanashambulia garisa na maeneo mengine mashariki
 
Ukiona jirani yako akurushii ngumi na wewe unataka kupigana nae, basi kajenge nyumba shambani kwake.
 
Msumbiji sio jirani yetu. Nyinyi Msumbiji ni jirani yenu ila kwa uwoga wenu mnajificha chini ya kitanda. Wacha jeshi la Rwanda lisafishe eneo hilo na kung'oa kwekwe zote.
USIPOTOSHE UMMA, unaijua TAMOFA hii ni TANZANIA and MOZAMBIQUE FRIENDSHIP ASSOCIATION,

nenda maktaba ukajifunze zaidi mkuu.
 
Back
Top Bottom