Asante Rwanda kwa kusaidia Msumbiji. Wachana na Waoga wengine waliokataa kutuma jeshi huko

Kaka Kayla Mission yeyotee huwa huwezi kukurupuka na kupeleka Jeshi tuu.

Lazima hatua zifwatwee ikiwemo na uchunguzi nguvu ya adui pamoja na vifaa.

So mambo haya ni nyeti ndani ya serikali yeyotee

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Sisi jeshi letu ni kwajili ya kumkamaat Freeman Mbowe.....ndio mwisho wwa akili zao na uwezo. Congrats kwa Ndugu zetu Rwanda
Acha Bahima wafanye kazi kule. Maana wengine wangeenda, ungeshangaa pengine viongozi wa Renamo ndio wangekamatwa kwa ugaidi, na kuyaacha Alsababu yakijitanua vizuri. Who knows?
 
Kaka Kayla Mission yeyotee huwa huwezi kukurupuka na kupeleka Jeshi tuu.

Lazima hatua zifwatwee ikiwemo na uchunguzi nguvu ya adui pamoja na vifaa.

So mambo haya ni nyeti ndani ya serikali yeyotee

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Sasa hapo Sadc inapeleka jeshi kufanya Nini mkuu?Bado wanachunguza tu miaka 4 sasa tangu magaidi waanze kufanya yao mpk leo.
 
Ukute Tz ndio tumefanikisha kila jambo, ni vile tu jeshi letu haliweki matangazo. Na niijuavyo Tanzania hizo kwere za Msumbiji itakuwa imezivalia njuga kiasawasawa.
Wanyarwanda wanafanya jambo ili watengenezw fursa. Tz tunarudisha amani iliyopotea.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ukute Tz ndio tumefanikisha kila jambo, ni vile tu jeshi letu haliweki matangazo. Na niijuavyo Tanzania hizo kwere za Msumbiji itakuwa imezivalia njuga kiasawasawa.
Wanyarwanda wanafanya jambo ili watengenezw fursa. Tz tunarudisha amani iliyopotea.
Yaweza kuwa kweli maana nchi huwa zina share baadhi ya mambo ya kiusalama hata hivyo sidhani kuwaTanzania inasita au kuogopa kupeleka jeshi huko maana ingekuwa hivyo basi eneo la Mtwara hadi Kibiti lingekuwa linakaliwa na hao magaidi mpaka muda huu maana target kubwa ya kwanza ya magaidi hao haikuwa msumbiji bali ni Tanzania na pia siasa za mambo haya zina mengi nyuma yake
Tanzania - United States Department of State
 
Report zinaonyesha hao magaidi walikua wanakimbilia Tz na huko boarder wanakutana na Moto wa Jw wanawamaliza chap chap.

Sa hivi magaidi wamekimbilia eneo linaloitwa Mbao huko Msumbiji,so Phase 2 ya OP Ni kuanza kusakwa hukohuko porini,SADC majeshi yanakuja kufanya peace keeping kwny maeneo yaliyotekwa na majeshi ya Rw na Msumbiji,then majeshi ya hizo nchi 2 yanaenda kukamilisha Phase 2 ya hio OP.
 
Anaesema au kuamini ni RWANDA pekee ndio imepeleka jeshi huko msumbiji ajichome kidole katikati ya matyako yake. TPDF ndio warlord and intelligence giant EAST and CENTRAL AFRICA. Anaupiga mwingi kimya kimya matangazo tumewaachia wakenya na banyarwanda.
 
KWA TAARIFA TU ILE JESHI LA RWANDA UNALOLISIFIA HAPA TULIWAPA KIPIGO CHA MBWA KOKO KULE DR CONGO WAKIPIGANA KWA MWAVULI WA M-23
 
HAWAJIELEWI, UKIMWAMSHA ALIYELALA UTALALA WEWE MKUU.
 
Msumbiji sio jirani yetu. Nyinyi Msumbiji ni jirani yenu ila kwa uwoga wenu mnajificha chini ya kitanda. Wacha jeshi la Rwanda lisafishe eneo hilo na kung'oa kwekwe zote.
Nyinyi ni vijana wetu saidieni na ninyi sisi ndo roho ya Afrika mashariki na kusini mwa jangwa la Sahara tumeyatumia majeshi yetu muda mrefu sasa nanyi wadogo zetu sasa Fanyeni Kazi nasi tupumzike bhana mazoezi
 
Punguza shobo na tz ww........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…