Asante Rwanda kwa kusaidia Msumbiji. Wachana na Waoga wengine waliokataa kutuma jeshi huko

Yaani special forces ya SA iliyowasili wiki mbili iliopita bado wapo hotelini wanakunywa chai? Ilhali Rwanda walifika leo na kesho wameanza kazi? Aisee nchi za SADC ni waoga sana.
 
Jeshi la msumbiji limeliwa na rushes,haiwezekani vitoto vya kibiti viteke maeneo muhimu wao wakiwa wanawatazama tu
 
Kaka Kayla Mission yeyotee huwa huwezi kukurupuka na kupeleka Jeshi tuu.

Lazima hatua zifwatwee ikiwemo na uchunguzi nguvu ya adui pamoja na vifaa.

So mambo haya ni nyeti ndani ya serikali yeyotee

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mbona Rwanda hawakuchunguza nguvu za adui walizama mara moja na kuanza kazi? Usijifanye mtalaam wa mambo za kijeshi kama huyaelewi. Nyie ni waoga kubali yaishe.
 
Msumbiji sio jirani yetu. Nyinyi Msumbiji ni jirani yenu ila kwa uwoga wenu mnajificha chini ya kitanda. Wacha jeshi la Rwanda lisafishe eneo hilo na kung'oa kwekwe zote.
Kwani Rwanda wamepeleka jeshi wao majirani??
 
Unaona jinsi SADC ni maembe? Wanapewa kazi ya kuchunga maeneo ambayo yamekombolewa kumaanisha hayana magaidi ila Rwanda ndio wanapewa jukumu la kuwasaka na kuwaangamiza magaidi?
 
Nyinyi hamjakomboa hata choo tu kutoka kwa mikono ya magaidi huko Msumbiji.
 
Unaona jinsi SADC ni maembe? Wanapewa kazi ya kuchunga maeneo ambayo yamekombolewa kumaanisha hayana magaidi ila Rwanda ndio wanapewa jukumu la kuwasaka na kuwaangamiza magaidi?
Wanasaka magaidi wenzao 😀😀😀mpe mwizi akulindie mzigo utafika salama
 
Usiniangushe Mkuu wewe ndiye Mkenya unayejua Kiswahili kuliko Mkenya mwingine yeyote yule duniani. Neno sahihi ni kaidhalilisha. 😂😂

Hehehe!! Wapo Wakenya wanaojua Kiswahili zaidi yangu tena sana, na ndio maana wanaajiriwa kote kwenye vyuo vya Uchina, Urusi n.k. kwenda kufundisha Kiswahili.
Shukrani kwa kunirekebisha, tatizo langu lafudhi, huwa natumia sana lugha yangu ya asili.
 
Reactions: BAK
Well said
 
Vita mnavyoviweza ni kusambaratisha wahuni na wapinzani tu[emoji1787][emoji1787]
Viva rwandan army
Jamaa tulisifiwa hapa kumbe jamaa bado walikua wanadunda tu
Hao magaidi wamewapisha tu hao rwanda kisha wanaanza kutoa ambush za kushitukiza
 
Ndio hawa hapa wazee wa kazi kutoka Rwanda
 
Usilolijua litakusumbua!!mambo mengine sio lazima kila mtu ayajue
 
Usiniangushe Mkuu wewe ndiye Mkenya unayejua Kiswahili kuliko Mkenya mwingine yeyote yule duniani. Neno sahihi ni kaidhalilisha. [emoji23][emoji23]
Jamaa kachanganya na lafudhi hyo bila shaka
 
Mbona Rwanda hawakuchunguza nguvu za adui walizama mara moja na kuanza kazi? Usijifanye mtalaam wa mambo za kijeshi kama huyaelewi. Nyie ni waoga kubali yaishe.
HAHAHAHA, YAONEKANA HUFAHAMU KINACHOENDELEA, KAWAULIZE POLISI WENU WALIOINGIA TANZANIA KUTAFUTA MAJAMBAZI MWISHO WAKE WAO NDIYO WAKAWA MAJAMBAZI, POOR KENYANS
 
Yaani special forces ya SA iliyowasili wiki mbili iliopita bado wapo hotelini wanakunywa chai? Ilhali Rwanda walifika leo na kesho wameanza kazi? Aisee nchi za SADC ni waoga sana.
Ficha upumbavu wako, usilolijua ni kama usiku wa giza, vikosi vya Tanzania vipo Msumbiji miaka mingi, HAO MAGAIDI WANAOISUMBUA MSUMBIJI WALIANZIA TANZANIA, TUKAWAFYEKELEA MBALI
 
PIGANENI NA YANAYO WAHUSU, TANZANIA KIJESHI IPO JUU YA UPEO WENU HAMUIWEZI, ALISHABAAB KILA SIKU WANAWACHINJA KAMA KUKU,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…