Asante Rwanda kwa kusaidia Msumbiji. Wachana na Waoga wengine waliokataa kutuma jeshi huko

🤣 🤣 🤣 Wapasua matofali kwa bichwa.
 
Hakuna gaidi anatamani kukanyaga Tanzania, hao wa kibiti Ndio wamekimbilia Mozambique .
Intelijensia na counter attach ya Hapa Sio mchezo .
M23 zilikuwa nchi zile wakitumia kivuli cha m23
Sasa kuna magaidi wengine wanaitwa adf wanashughulikiwa.
Sijamuelewa bado muheshimiwa Uhuru kupeleka jeshi DRC wakati magaidi mara kwa mara wanashambulia garisa na maeneo mengine mashariki
 
Ukiona jirani yako akurushii ngumi na wewe unataka kupigana nae, basi kajenge nyumba shambani kwake.
 
Msumbiji sio jirani yetu. Nyinyi Msumbiji ni jirani yenu ila kwa uwoga wenu mnajificha chini ya kitanda. Wacha jeshi la Rwanda lisafishe eneo hilo na kung'oa kwekwe zote.
USIPOTOSHE UMMA, unaijua TAMOFA hii ni TANZANIA and MOZAMBIQUE FRIENDSHIP ASSOCIATION,

nenda maktaba ukajifunze zaidi mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…