Asante sana Mbowe, umeibeba CHADEMA hadi sasa imekua. Kapumzike

Hiyo 2023 chama kitakuwa kimeshakufa tayari.....anataka kubakia kwa miaka hii miwili iliyobaki ili awe anakula ruzuku tu huku akiwanyima wenzake ulaji.
 
Hiyo 2023 chama kitakuwa kimeshakufa tayari.....anataka kubakia kwa miaka hii miwili iliyobaki ili awe anakula ruzuku tu huku akiwanyima wenzake ulaji.
Alikufa jiwe tu,siyo cdm
 
Hivi Chadema imekua au imekufa? unadhani mwamba angekua na uhakika wa kula ruzuku kila mwezi angeachia ngazi? tatizo lenu mpo kwenye 'denial' kwamba hiki chama hakina mvuto tena, kimebaki kwenye mitandao tu, huko field hakuna kitu na hiki kitu mbowe anakijua. ndo maana alianza kutangaza kwamba chama hakitashiriki uchaguzi mkuu wa 2025 kwa kisingizio cha katiba mpya, lakini ukweli ni kwamba chama hakina rasilimali za kutosha kushiriki uchaguzi huo. Hii ni baada ya kupungua kwa ruzuku ambayo kwa kuzuga wameona bora waikatae kwasbabu chanzo chake ni wale wabunge 19 wanaowakataa. Mpaka chadema iinuke tena labda baada ya miaka 20
 
Aliyjaribu kutaka kuiua kafa yeye kwa corona
 
Mbowe ameumizwa sana kwa kuwa kiongozi wa Chadema. Amefilisiwa mali zake na kuharibiwa vitega uchumi vyake vyote! Mwendazake na genge lake ni Mashetani kabisa.
 
Mbowe ameumizwa sana kwa kuwa kiongozi wa Chadema. Amefilisiwa mali zake na kuharibiwa vitega uchumi vyake vyote! Mwendazake na genge lake ni Mashetani kabisa.
Walaaniwe wote waliotenda ubaya kwa binadamu mwenzao
 
Ukitaka uitwe msaliti anzisha hii kitu.
 
Huyu Mwamba ni makini natamani awe rais wa nchi yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…