Asante sana Rais Samia kwa kuliponya Taifa. Umeonesha kwa kauli na matendo; tunajenga nyumba moja, hakuna sababu ya kugombea fito!

Tatizo kubwa la pascal ni kuwa ukisoma post zake zote na ref zote anazofanya kupitia maandiko yake yote! Unapata mistar miwil tu ya kuabudu na kutukuza kijani! Tena kwa malengo ya kupata teuzi! Ushauri wangu "mkono mtupu haulambwi" ongeza jitihada kidogo hata kufunga kamba za viatu wenye ccm yao! Vinginevyo utaishia kuandika insha tu humu jf na kwenye magazeti! Kwa kifupi unazunguruka mno kumpresent hoja zako za mista mi2 tu
 
Hivi kweli Paskali wewe ni wa kusema hukumbuki Magufuli alikujibuje swali lako kweli!!? Kweli Paskali kweli?? Haya...
P anatamani kupata nafasi mzuri ya kurejesha Kwa jamiii kweli kweli Tena kupitia ccm, ila kiuhalisia P hayupo pamoja na ccm, ila kwa maana TU ya kufikia malengo anaambatana nao . Amua moja P, kuambatana na ccm mwanzo mwisho au uamue kuachana nao kabisa na uamue kurejesha Kwa jamii Kwa jasho na damu kama wafanyavyo chadema, usihofie matokeo , kama lengo ni kurejesha Kwa jamii🤔
 
Pascal Mayalla ni moja kati ya waandishi wa habari makini sana na ni wazoefu, yaani mwandishi mwandamizi; huyu anafaa hadi kua mwalimu wa wanafunzi wa habari; uhakika niliona ni kwamba article hi ameandika ikiwa hata yeye mwenyewe hayaamini anayo yasema. Ndio walivyo wana siasa wengi, ndio walivyo wana ccm wengi; huaga wanayo yasema hata wao hawayaamini lakini wanataka wasikilizaji/wasomaji tuamini, ndio nchi yetu, ndio Tanzania yetu ilipofika.
 
Ila huyu anakumbukumbu ya kuseize press card yake.
 
Kama hukumbuki ulivyojibiwa lile swali lako acha nikukumbushe kwanza alitoa tafsiri ya jina lako kwamba ni NJAA kumaanisha kwamba hata swali lako umeliuliza kinjaanjaa pili akasema muhimili wake umejichimbia chini zaidi mwisho wa kunukuu
 
Jana naona uliamka vizuri sn tofauti na ulivyokengeuka siku hizi, uliandika point sn
 
hahahahahahaaaaa 😂 😂 😂 😂 haya bwamdogo subir ugaiwe unyampala utakutosha tu ila unakomaa broo dah!! mama asipokuona basi itabidi wende kuleee masalakulangwa milimani ukaongee na mizimu mana huenda umewasusa hujawatembelea miaka mingi
 
Awamu hii ya 6 Chini ya Rais Samia imedhamiria kushirikiana na vyama vya upinzani, hivyo ni vyema vyama vya upinzani pia vikawa na nia njema ili kuharakisha maendeleo ya wananchi.
 
Wajuba wenzio wa LUMUMBA FC wanataka yule kibaka SABAYA aachiwe kama alivoachiwa MWAMBA MBOWE. je na wewe unaungana nao?
 
Mkuu paskali ,binafsi nitakua wa mwisho pongeza tz nzima ,mpaka pale nionapo mchakato wa katiba mpya umeanza , mpaka Sasa sitakiwi pongeza lolote KWa Rais ,

Kama kweli yasemwayo yatoka mwoyoni basi mchakato wa katiba UKAANZE Mara MOJA ,hapo nitakua wa KWANZA simama na SSH ,sio maneno tu hapa ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…