Paul ndio maana hawezi kupata teuzi hata kama anaonekana ni kichwa. Ni mnafikiTumuulize P kama alishakuwa means siasa , hasa siasa ambazo ccm yupo🤔Mbona ameigopa kusema jibu alilopewa alipopata fursa kuuliza swali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Paul ndio maana hawezi kupata teuzi hata kama anaonekana ni kichwa. Ni mnafikiTumuulize P kama alishakuwa means siasa , hasa siasa ambazo ccm yupo🤔Mbona ameigopa kusema jibu alilopewa alipopata fursa kuuliza swali
Eti !! ???Tunajenga nyumba moja au tunawajengea wateule wachache ulaji?
Siku zote wasema kweli huwa hawapendwi !!Paul ndio maana hawezi kupata teuzi hata kama anaonekana ni kichwa. Ni mnafiki
Hapa nilimtaka Pascal anijibu kwenye mada yake ameongea mengi ila hakuthubutu kusema majibu aliyopewa na mwana sisiemu mwenziePaul ndio maana hawezi kupata teuzi hata kama anaonekana ni kichwa. Ni mnafiki
Magufuli aliteswa na roho ya kukataliwa. Watu wa hivi huwa ndivyo walivyo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Magufuli alikuwa mwoga sana pamoja na kuwa na instruments zote mkononi
Tatizo kubwa la pascal ni kuwa ukisoma post zake zote na ref zote anazofanya kupitia maandiko yake yote! Unapata mistar miwil tu ya kuabudu na kutukuza kijani! Tena kwa malengo ya kupata teuzi! Ushauri wangu "mkono mtupu haulambwi" ongeza jitihada kidogo hata kufunga kamba za viatu wenye ccm yao! Vinginevyo utaishia kuandika insha tu humu jf na kwenye magazeti! Kwa kifupi unazunguruka mno kumpresent hoja zako za mista mi2 tu
P anatamani kupata nafasi mzuri ya kurejesha Kwa jamiii kweli kweli Tena kupitia ccm, ila kiuhalisia P hayupo pamoja na ccm, ila kwa maana TU ya kufikia malengo anaambatana nao . Amua moja P, kuambatana na ccm mwanzo mwisho au uamue kuachana nao kabisa na uamue kurejesha Kwa jamii Kwa jasho na damu kama wafanyavyo chadema, usihofie matokeo , kama lengo ni kurejesha Kwa jamii🤔Hivi kweli Paskali wewe ni wa kusema hukumbuki Magufuli alikujibuje swali lako kweli!!? Kweli Paskali kweli?? Haya...
Siasa za KISTAARABU ziko vipi?Kwani CHADEMA hawawezi kufanya siasa za kistaarabu kuliko hii wanayofanya? Matusi, kejeli, vurugu, maandamano haisaidii. Wabadilike sasa, hakuna haja ya kushindana na dola
Ila huyu anakumbukumbu ya kuseize press card yake.Pascal Mayalla ni moja kati ya waandishi wa habari makini sana na ni wazoefu, yaani mwandishi mwandamizi; huyu anafaa hadi kua mwalimu wa wanafunzi wa habari; uhakika niliona ni kwamba article hi ameandika ikiwa hata yeye mwenyewe hayaamini anayo yasema. Ndio walivyo wana siasa wengi, ndio walivyo wana ccm wengi; huaga wanayo yasema hata wao hawayaamini lakini wanataka wasikilizaji/wasomaji tuamini, ndio nchi yetu, ndio Tanzania yetu ilipofika.
Passport Ni Mambo ya taifaLissu hakwenda kuomba kazi wala mkate wala chakula. Alienda kuomba maswala nyeti ya watanzania.
Usiri wa nini?
Hayo yalikuwa nyongeza tuPassport Ni Mambo ya taifa
Kuna saa dishi linakaa vizuri kuna saa tamaa inamshikaPascal Mayalla hakuweza kuandika chochote juu ya kesi ya mbowe kwababu angeivua nguo serikali (rais) na yeye alishawahi kutana na msuli wa serikali sasa uwoga umemjaa...thibitisha kwa Uzi wake huu
hahahahahahaaaaa 😂 😂 😂 😂 haya bwamdogo subir ugaiwe unyampala utakutosha tu ila unakomaa broo dah!! mama asipokuona basi itabidi wende kuleee masalakulangwa milimani ukaongee na mizimu mana huenda umewasusa hujawatembelea miaka mingiWanabodi,
Hii ni Nipashe ya wiki iliyopita
View attachment 2141741View attachment 2141742
Wanabodi,
Hili ni bandiko la Pongezi kwa Rais wetu, Mama Samia.
Kama mtu uliwahi kuandika kuhusu jambo fulani, halafu hili jambo likafanyika, kwa jinsi ile ile ulivyoshauri, hauna budi kupongeza.
Anzia hapa,
Asante sana Rais Samia kwa kuliponya Taifa. Umeonesha kwa kauli na matendo; tunajenga nyumba moja, hakuna sababu ya kugombea fito!
Wanabodi, Hii ni Nipashe ya wiki iliyopita Wanabodi, Hili ni bandiko la Pongezi kwa Rais wetu, Mama Samia. Kama mtu uliwahi kuandika kuhusu jambo fulani, halafu hilo jambo likafanyika, kwa jinsi ile ile ulivyoandika na ulivyoshauri, hata kama halikufanyika kwasababu ya andiko lako au ushauri...www.jamiiforums.com
Kisha nenda hapa
Kisha hapa,Kumbe DPP kutenda haki kunawezekana! Hongera sana, kazi umeianza vizuri. Sasa haki sio tu inatendeka, inaonekana! Kazi Iendelee…
Wanabodi, Naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", nikiangazia suala zima za utoaji haki nchini, ambapo makala hii ni muendelezo wa ushauri kwa DPP, ulioanza wiki iliyopita. Wanasheria wana vimisemo vyao vingi vingi vya kisheria, vingi viko kwenye lugha ya Kilatini, na...www.jamiiforums.com
Ushauri kwa DPP: Kutekeleza nia njema ya Rais Samia, kuona Haki ikitendeka; je, tumchagize DPP kutumia Nolle kufuta kesi zote zinazosuasua?
Wanabodi, Jumatatu ya leo, naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zinachapishwa kwenye gazeti la Nipashe kila siku za Jumapili, makala ya leo ni swali la ushauri wa Bure kwa DPP, kwa vile Rais Samia, ameishaonyesha nia njema ya kutaka Watanzania watendewe haki, Jee...www.jamiiforums.com
Kuna msemo wa Kiswahili usemao, "Ukiaminiwa, Jiaminishe", Tanzania ni nchi ya wote, Watanzania wote, binadamu wote ni sawa, CCM na Wapinzani wote ni sawa, na wote tuna lengo moja la kuijenga Tanzania yetu ambayo ni moja hivyo tunajenga nchi moja, tunajenga nyumba moja hatuna sababu ya kugombea fito.
Serikali ya awamu ya 5, ina mazuri yake, ila haikuwa serikali ya kimalaika, ulikuwa inaongozwa na binaadamu hivyo inawezekana kuna mahali ilikosea hivyo ikafanya makosa. Kuna watu walipotea, kuna watu walipotezwa, kuna watu waliumizwa, na kwenye uendeshaji wa siasa zetu, kulikuwepo mgawanyiko wa makundi ya wenye nchi, watoto wa nyumbani CCM, la watoto wa kambo, wapinzani. Watoto wa nyumbani, wao walijisikia wako nyumbani kwao, wana rukhsa ya kufanya kila kitu, wakati watoto wa kambo walizuiliwa, hata kufanya, mikutano, kitu kilichoruhusiwa na katiba na wengi wa viongozi wao, kila uchao, waliozea magerezani.
Tulipoalikwa Ikulu, kuuzungumzia mwaka mmoja wa Awamu ya 5, mimi ni miongoni mwa tuliobahatika kuuliza maswali, mimi swali langu lilikuwa moja tuu, "Rais wa JMT anachaguliwa kwa mujibu wa katiba na anaapa kuilinda, kuitetea na kuitelekeza katiba ya JMT, hivyo jambo ambalo limeruhusiwa na katiba, rais wa JMT, anapata wapi mamlaka ya kulizuia?. Sikumbuki nilijiwaje, ila kwa awamu ile, CCM na wapinzani walikuwa ni kama paka na panya.
Baada ya kutokea kilichotokea, tukapata mabadiliko na Mama Samia kuingia, siku ile analihutubia Bunge la JMT, rais Mama Samia kwa kauli na matendo, ameonyesha nia na dhamira ya kuliponya taifa kwa madhila tuyopitia, na kuwaunganisha Watanzania tuwe wamoja tena. Akatamka yuko tayari kukutana na wapinzani kwa kusisitiza, tunajenga nyumba moja, kwanini tugombee fito?.
Siku ya siku ya kukutana na wapinzani ikawadia, Msajili wa Vyama akavikalisha vyama vyote vya siasa pale Dodoma. Chama Kikuu cha Upinzani kwa huku Tanzania Bara, Chadema wakasusia mkutano ule kwa hoja ya hawata hudhuria kwasababu Mwenyekiti wa Chadema, yuko mahabusu.
Sisi washauri wa bure tulishauri, badala ya kususa na kuzungumzia pembeni, kwa vile rais Samia ameishaonyesha nia njema, mkutano huo ni fursa nzuri kwa Chadema kuwasilisha hoja zao kwa rais. Chadema wa huku nyumbani, hawakuiona fursa hiyo hivyo hawakuitumia.
Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akaitumia fursa hiyo kikamilifu ikiwemo kumzungumzia Mbowe, na rais Samia akajibu pale pale, "Kusameheana kupo".
Kitendo cha Chadema kuendelea kususa hata baada ya kuiona nia Njema ya rais Samia, ni uthibitisho wa kutojiamini na kuto aminiana, kitendo cha Chadema ya nyumbani Tanzania kususia mkutano wa vyama na rais Samia, huku ni kuonyesha Chadema ya nyumbani Tanzania, haina imani na nia njema ya kweli ya rais Samia kuliponya taifa, hivyo kususa kule, was a missed opportunity.
Kwa jinsi Mungu alivyo mkubwa, ikatokea fursa rais Samia akafanya ziara ya Ubelgiji, M/Mwenyekiti sa Chadema, Tundu Lissu, akaichangamkia fursa hiyo, akaomba kuonana na rais Samia. Na Samia alivyo ni mtu wa hiyana, akakubali kuonana na Lissu na kufanya nae mazungumzo ya faragha.
Kitendo cha rais Samia kukubali kukutana na Tundu Lissu, ni uthibitisho wa ile nia ya dhati ya kulioponya taifa kwa kufuata ile filosofia ya Rais Samia ni rais Watanzania wote, ni rais wa wana CCM, ni rais wa wapinzani ni rais wa Watanzania wote hata wasio na vyama, lengo la kila Mtanzania ni kuijenga Tanzania yetu, hivyo CCM na wapinzani, tunajenga nyumba moja, hatuna sababu yoyote ya kugombea fito.
Kwa vile ni mazungumzo ya faragha, Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu chini ya Mkurugenzi mpya, Zuhura Yunus (hongera), ikaeleza kuhusu mkutano huo wa Rais Samia na Tundu Lissu bila kueleza kilicho zungumzwa.
Rais wa JMT, ndiye raia number moja wa JMT na ndie Mkuu kuliko mtu mwingine yeyote kimamlaka na kimadaraka ndani ya JMT. Sasa inapotokea mtu yeyote umeomba kumuona rais na kuongea nae jambo lako lolote na rais akakukubalia kumuona na kuongea nae, ile tuu kuongea na rais ni heshima kubwa, ina maana umeaminiwa.
Hivyo Tundu Lissu kukubaliwa kukutana na rais Samia, ni Lissu ameaminiwa. "Ukiaminiwa, jiaminishe". Baada ya mazungumzo, of course, lazima kuna hoja na maombi aliwasilisha kwa rais Samia.
Kwa vile Lissu ni mtu mdogo compared to Samia, na amekutana na mtu mkubwa, rais wa JMT, baada ya kikao, ukiona mkubwa amenyamaza, na wewe mdogo nyamaza!.
Moja ya mapungufu makubwa ya upinzani wa Tanzania, ni kupayuka payuka sana, kuropoka ropoka na kupiga sana kelele kuhusu karibu kila kitu!.
Kuna mambo ya kupigia kelele na kelele zikasaidia, lakini kuna mambo ya kufanywa kimya kimya, sio kila kitu ni kupayuka, kuropoka na kupiga kelele.
Kama Lissu ameaminiwa na kuzungumzia na rais Samia in confidence, kitendo cha kusema alichozungumza ni breach of confidence. Mambo mengine ni kujifunza kunyamaza, ukiaminiwa jiaminishe.
Kwa vile Mtangulizi wa Mama Samia, JPM, hutukumpangia, hivyo nashauri na Samia, tusimpangie!. Ukiomba kitu kwa mkubwa, hautoki na kuanza kupayuka umeomba nini!, Ukiomba kitu kistaarabu ni kunyamaza na ku subiri majibu. Hata katika kuomba vitu, enzi za ujana, kwani huwa unatangaza umeomba nini na kwa Nani?, Si unaomba kimya kimya, ukikubaliwa ndipo utatangaza tena ni kwa barua ya posa na sio kupayuka!. Hivyo ukiomba kitu kwa mkubwa, kisha wewe muombaji kutangazia umma umeomba nini, ni kama ama kumpangia ama kumshinikiza, hii inaweza kubadili matokeo, hata mjibu maombi angekuwa amepanga kuyatekeleza maombi yote kama muombaji alivyoomba, lakini kitendo cha muombaji kupayuka, kunaweza kumpelekea mjibu maombi akaamua asitekeleze maombi yako, maana akitekeleza, itaonekana ni kama alipangiwa.
CCM, wapinzani, sisi sote ni wamoja, tunajenga nyumba moja, hatuna sababu ya kugombea fito, tuaminiane, CCM muwaaminie wapinzani ni Watanzania wenzetu, wana nia njema na taifa hili, na nyinyi wapinzani, muaminieni Mama Samia, iamimieni CCM, na kwa vile Mama Samia ameonyesha kwa kauli na matendo, nia njema ya kuliponya taifa, hata ile hoja ya kuzuiwa mikutano ya hadhara, inaponyeka, hoja za wapinzani kunyanyaswa, zinaponyeka, uwezekano wa kuifumua Tume ya Uchaguzi na kuifanya shirikishi inawezekana, ujenzi wa uwanja sawa (level playing ground) yakucheza mchezo wa siasa, unawezekana.
Wiki iliyopita DPP kaifuta kwa Nolle kesi ya Mbowe, na Mbowe na washtakiwa wenzake kuachiwa huru, japo kikatiba, kisheria, kikanuni na kiutaratibu ni DPP, lakini watu wote wenye hicho la tatu wanamjua ni Nani aliyemuachia Mbowe.
Mbowe baada tuu ya kuachiwa huru, siku hiyo alikwenda Ikulu kuzipunguza na rais Mama Samia, kila mtu mwenye akili, alijua Mbowe, alikwenda kuzungumza nini, lakini hatukumsikia Mbowe, akizungumzia walicho zungumza Samia. Mbowe anajua kunyamaza, Lissu ajifunze kunyamaza.
Kitendo cha kuachiwa kwa Freeman Mbowe ni the biggest political milestone ya rais Samia.
Asante sana Rais Samia, Big Up Sana.
Wasalaam
Paskali
Wajuba wenzio wa LUMUMBA FC wanataka yule kibaka SABAYA aachiwe kama alivoachiwa MWAMBA MBOWE. je na wewe unaungana nao?Wanabodi,

Mkuu paskali ,binafsi nitakua wa mwisho pongeza tz nzima ,mpaka pale nionapo mchakato wa katiba mpya umeanza , mpaka Sasa sitakiwi pongeza lolote KWa Rais ,Wanabodi,