Asante sana Rais Samia kwa mabadiliko haya madogo ya uongozi katika Serikali Kuu, watanzania wote wamekupenda zaidi, wanakushukuru na kukuamini zaidi

Asante sana Rais Samia kwa mabadiliko haya madogo ya uongozi katika Serikali Kuu, watanzania wote wamekupenda zaidi, wanakushukuru na kukuamini zaidi

unaelewa gentleman kwa siasa kuna kitu inaitwa political dynamics by mistakes, blunders or normal changes 🐒

Rais JK huita ni ajali ya kisiasa, hasa kipindi kile hayati Lowasa amejiuzulu ..

so,
hakuna habari ya kusifia wala kuabudu hapa ni ukweli na uwazi bila mihememko, upende usipende 🐒
Mbona kwenye mapungufu usemi?....... 😀
 
Mafisadi wepi aliochukulia hatua,acheni kutuchokoza.CAG kaibua mafisadi wangapi,many,lakini hakuna hatua yeyote inayochukuliwa.Ni upigaji tu sasa kila sehemu,shameful indeed.

You see how irrational you people are,Nape alichosema ni the truth and the whole truth,yeye kasema what we already knew,lakini eti kawajibishwa.So mlitaka wananchi wasijue uovu wenu,poleni,kila mtu kajua sasa,hata the unsuspecting.
so gentleman huoni hatua zinazochukuliwa dhidi ya wabadhirifu wa mali ya umma maeneo mbalimbali nchini?

au mnataka Serikali iingilie kati taratibu za kimahakama ili baadae mseme mahakama zetu sio huru, right?

ili kitokee nn Serikali iwe inakuja kutoa taarifa za kimahakama humu JF,?
be serious bana fatilieni mambo ya maana nchini, kufuatilia sijui nani kachoma picha ya nani au nani kabakwa na nani kana kwamba ndio vitu vya maana, mambo mengi mno yatawapita....

nchi hii inaendeshwa kwa mujibu wa sheria na katiba sio kwa kauli ya Mtu...

Serikali ya Dr Samia Suluhu Hassan iko kazini kukuhakikishia hiyo dhana pototofu inaondoka katika fikra za watu hususani kwenye mambo ya uchaguzi,

nasikitika kwa wenye kuamini kauli za watu kama wewe, watakuja kubaini kwamba uchaguzi ujao wa Tanzania ni wa kuaminika, wa wazi kupita kiasi, huru na wazi kuliko chaguzi zozote zilizowahi kufanyika duniani, wakati uchaguzi wenyewe utakua umekwisha 🤓

itabidi usubiri miaka mitano ijayo tena 🐒
 
Wananchi wana hasira ya 2019/2020 halafu waziri mmoja anakumbusha tena lwa kebehi anayoiita utani,hakumtendea haki Rais na 4R zake. Kilichotokea ni sahihi na wengine wemye mawazo ya wizi wa kura. awaonye,vyombo vya dola navyo vipewe maelezo,ili atakayeshinda ashinde atakayeshindwa ashindwe. Mungu yupo ni wa wote.
We unadhani Nape aliyasema yale kwa bahati mbayaa??Nchi inapita kwenye wakat mgumu sana hii na kuna watu wanamwambia mama wataweza kumpambania lakon pressure n kubwa sana 2025
 
Mbona kwenye mapungufu usemi?....... 😀
mapungufu yapi sisemi gentleman?🐒

mikutano ya kisiasa ilipigwa marufuku nchini.waTanzania kwa umoja wetu tukamshauri RAIS Dr.Samia Suluhu Hassan hivi sasa kila chama kiko huru kufanya wajibu wake 🐒

tena Dr Samia Suluhu Hassan ameenda mbali zaidi kufanya mabadiliko katika sheria za uchaguzi na Tume Huru ya Uchaguzi kadiri ya maoni na matakwa ya waTanzania...

hivi sasa kuna maridhiano na kikosi kazi kazini tunapoelekea katiba mpya baada ya Uchaguzi mkuu ujao 2025🐒

yapi hayo ambayo hatuyasemi?🐒
 
We unadhani Nape aliyasema yale kwa bahati mbayaa??Nchi inapita kwenye wakat mgumu sana hii na kuna watu wanamwambia mama wataweza kumpambania lakon pressure n kubwa sana 2025
usimpotoshe mwenzio gentleman,

nchi yetu iko pazuri sana, salama, imara na uelekeo wake ni mzuri mno kuliko wakati wowte tangu uhuru...

hakuna pressure wala kitisho chochote kisiasa kijamii au kiuchumi, kwa chama na Serikali sikivu ya CCM 🐒

kama kuna pressure au ugumu wowote unapitia, basi ni wako binafsi tafuta namna bora binafsi kudeal na hali hiyo ya kibinadamu 🐒

Chini ya kiongozi wetu makini shupavu na madhubuti sana comrade Dr Samia Suluhu Hassan, nchi ni tulivu na Amani ni ya uhakika 24/7 hasa tunapoelekea uchaguzi mkuu mwaka ujao 2025🐒
 
🤣🤣 Tlaatlaah sisi tumefurahi tu ila sio kumpenda Wala kumshukuru Wala kumuamini usitusingizie mkuu tumekukosea nini?
actually,
sample size ya jimbo langu inatosha kabisa kuwakilisha hali ya upendo na uaminifu wa waTanzania kwa Dr Samia Suluhu Hassan...

for sure wanafurahishwa mno na hatua anazochukua kuimarisha utendaji na ufanisi wa serikali yake na kuwaletea wanainchi Maendeleo endelevu mijini na vijijini 🐒
 
Wale si tunawabeba na maroli mkuu.Alafu ni watoto tupu.Niliangakia Katavi ni vitoto vidogo under 18 viko hapo mmevipa na viti vikae.
Chimbuko la CCM ni jumuiya ya wazazi, chipkizi, uvccm halafu uwt na hatimae wana CCM wote 🐒

gentleman,
ukiona vya elea vimeundwa hivyo 🐒
 
Unachoulizwa na unachojibbu ni tofauti,Wacha tuhangaike na kazi za kuingiza kipato kuliko kupiga ngonjera na majuha
kila la kheri gentleman,
muhimu zaidi ni kulipa ushuru tozo na kodi kwa wakati 🐒

Neema na Baraka za Mungu ziambatane na kuandamana sambamba nawe katika kazi na majukumu yako ya kukuongezea kipato,
Amen 👊💪
 
Ni mtu aliye pungukiwa kichwanipekee anayeweza kuandika kichwa cha mada kama kilicho tumiwa kwenye mada hii.
kimekuconfuse kabisa gentleman 🤣

pole sana aise hiyo ndio tabia ya Ukweli kwa wasioupenda

ni mchungu halafu unakera 🤣
 
Rais Samia Suluhu Hassan, Rais na kipenzi cha waTanzania uongozini.

Mwenyezi Mungu azidi kukujaalia afya njema, bidii, ubunifu na nguvu tele katika kuongoza nchi yetu Tanzania..

Hamasa na ushawishi wako kwa vitendo baada ya kufanya mageuzi na mabadiliko kidogo katika uongozi wa Serikali yako kuu, waTanzania kwa mamilioni yao, wamekupongeza sana, na kukushukuru mno, kwani dhamira na nia yako njema ya kuwaletea wanainchi maendeleo imedhihirika bayana...

Hamasa ya kukupenda na kukuamini imeongezea mara dufu matarajio yao kwao ni makubwa mno kisiasa kijamii na kiuchumi..

Inafahamika, inaaminika na inaonekana tena mchana kweupeee, kila pembe ya nchi Dr.Samia Suluhu Hassan una pendwa na unakubalika bila kificho kwa maneno na matendo yako, katika kazi za maendeleo..

Hakiwezekani mtu aje aseme hadharani, ati hata kama hamumpendi huyo ndio Rais wenu, hiyo ni dharau kubwa sana japo kwa hekima na busara ulichelewa kuchukua hatu.

Lakini pia, Mh. Rais usiku na mchana uko kazini kuhakikisha taasisi zetu mathalani zinazohusu kusimamia chaguzi zinakua imara na zina aminika kwa wananchi, na kwamba hata chaguzi zetu zote zinaaminika zinakua huru, wazi na za haki na waTanzania wanahamasika kupiga kura.

Halafu mtu mwingine anakuja kudhoofisha jitihada hizi kubwa kirahisi tu, za mh.Rais kurejesha imani za waTanzania kwenye taasisi zao.. eti bao la mkono 🐒

Hapana, Hii si sawa na haipendezi. Kuna aina za matani tunapokua kazini ni hujuma. na dhamira yake ni kubomoa au kuidhoofisha kazi muhimu za Kuwaleta waTanzania pamoja na kuamininiana. madaraka ya kulevya ni ulevi mbaya sana🐒

waTanzania wako pamoja nawe mh.Rais Dr.Samia Suluhu Hassan.
Mungu Ibariki Tanzania

Pia soma
- Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Ukinionyesha Uzi wako ukiwa unakemea hizo kauli nitakuamini. Vinginevyo wewe ni Chawa simama uhesabiwe.
 
Hahahaaa.sasa kama ni hivyo kwa nini utumie nguvu kubwa? na ukishakuwa rais unakuwa na kiburi na ufisadi juu?
hayo ni maoni na mtazamo binafsi wa mtu kwenye uwanda wa uhuru, haki na usawa katika kutoa maoni 🐒

kiasili utumishi wa umma hasa ngazi ya urais, ni junction au hub ya mazuri mabaya, ya kuudhi ya kufurahisha, machungu na matamu, vita au amani, upendo au chuki n.k

unapotamani utumishi huo ni vema kujiandaa kukutana na hali hizio...

by the way,
kama nilivyosema hayo ya kutumia nguvu au ufisadi ni maoni yako binafsi...

but kwa ujumla,
Dr.Samia Suluhu Hassan amebeba imani na matumaini ya waTanzania hadi 2030
 
Dah!
Sijui nikueleze vipi uweze kuelewa. Haya ya sasa ni ya kutapatapa, kama mfa maji.
anae tapatapa ni nani sasa gentleman?🐒

Dr Samia Suluhu Hassan yupo kazini na amebeba imani, matumaini upendo na matarajio ya wanainchi waTanzania mpaka 2030, bila mbambamba yoyote 🐒
 
Back
Top Bottom