Asante sana Rais Samia kwa mabadiliko haya madogo ya uongozi katika Serikali Kuu, watanzania wote wamekupenda zaidi, wanakushukuru na kukuamini zaidi

Asante sana Rais Samia kwa mabadiliko haya madogo ya uongozi katika Serikali Kuu, watanzania wote wamekupenda zaidi, wanakushukuru na kukuamini zaidi

Ukinionyesha Uzi wako ukiwa unakemea hizo kauli nitakuamini. Vinginevyo wewe ni Chawa simama uhesabiwe.
gentleman,
kwanza kabisa uelewe ya kwamba mimi sibabaiki kuitwa jina lolote ila langu hata ukija jimboni ulizia Tlaatlaah tu utanipata kirahisi sana 🐒

Jambo la pili,
mimi na waTanzania kwa mamilioni yao tulimkosoa sana Dr Samia Suluhu Hassan na hata akakubali kuruhusu mikutano ya kisiasa nchini..

lakini pia tulimkosoa sana na tukamshauri aunde kikosi kazi kucheki dosari na kasoro katika uchaguzi naTume Huru ya Uchaguzi vitu ambavyo vimefanyiwa kazi na vinginevyo viko kwenye hatua mbalimbali mathalani suala la katiba mpya ambalo baada ya Uchaguzi mkuu ujao 2026 litatolewa uelekeo 🐒

hayo ni kwa uchache tu kwa nje
 
anae tapatapa ni nani sasa gentleman?🐒

Dr Samia Suluhu Hassan yupo kazini na amebeba imani, matumaini upendo na matarajio ya wanainchi waTanzania mpaka 2030, bila mbambamba yoyote 🐒
Kwanza siyo 'Dr'; ondoa uchafu huo kwanza kabla hujaeleza chochote juu yake.
Hayo mengine sijibu kwa sababu hayana maana yoyote.
 
CCM kwenyewe kunafukuta afu unasema eti watanzania wote.

Futa kauli, omba msamaha.
 
Kwanza siyo 'Dr'; ondoa uchafu huo kwanza kabla hujaeleza chochote juu yake.
Hayo mengine sijibu kwa sababu hayana maana yoyote.
sasa si uendelelee na majukumu mengine gentleman, unababaika nini sasa na mihememko na ghadhabu zako, si uwapatie fursa watu wenye hakima na busara zao niwapatie ufafanuzi mujara kwa maswali na hoja wanazoibua dhidi ya andiko langu 🐒

kua muungwana kidogo bas, ukichoka unapumzika tu.

Dr.Samia Suluhu Hassan ataendelea kubeba matumaini ya waTanzania hadi 2030, kwan kuna ubaya gani 🐒
 
CCM kwenyewe kunafukuta afu unasema eti watanzania wote.

Futa kauli, omba msamaha.
labla unaizungumzia kile Chama Cha Mashinani (CCM) cha kule Kenya chini ya Isaac Ruto, right ?🐒
 
Attachments

  • download.jpeg
    download.jpeg
    17.8 KB · Views: 0
  • download.jpeg
    download.jpeg
    17.8 KB · Views: 0
sasa si uendelelee na majukumu mengine gentleman, unababaika nini sasa na mihememko na ghadhabu zako, si uwapatie fursa watu wenye hakima na busara zao niwapatie ufafanuzi mujara kwa maswali na hoja wanazoibua dhidi ya andiko langu 🐒

kua muungwana kidogo bas, ukichoka unapumzika tu.

Dr.Samia Suluhu Hassan ataendelea kubeba matumaini ya waTanzania hadi 2030, kwan kuna ubaya gani 🐒
Bado huelewi?
Nilisha kwambia toka punde, nikishaona tu takataka zako hapa, nina wajibu wa kuzishughulikia kwa faida ya taifa letu. Usifikiri nilikuwa natania.
Upo hapa kwa kazi maalum ya kuidhalilisha nchi yetu na watu wake, nami nimejitoa mbele kuipigania Tanzania yetu kuwakabili mawakala nyinyi wa waarabu.
 
sema umejitoa ufahamu lakini sio unakuja hapa kuwakaseha watu fursa za kujua na kuelewa hali ya siasa nchini,
pumzika huko 🐒
 
sema umejitoa ufahamu lakini sio unakuja hapa kuwakaseha watu fursa za kujua na kuelewa hali ya siasa nchini,
pumzika huko 🐒
Chukulia vyovyote upendavyo, lakini umekwisha tambua kilichopo kati yetu, wewe na mimi, na huyo mhujumu wa nchi yetu.
 
KWA MARA KWA KWANZA RAIS SAMIA NAKUITA MAMA
BADO BASHE NA NCHBA
nina fursa na wajibu mzito na muhimu katika nchi hii,

ningekua verified,
kamwe nisingeweza kupata fursa ya engagements na koment za furaha kama hizi lakini matarajio ya furaha zaidi kama uliyopendekeza yatatimia, aise nyie raia ni moto 🤣
 
Chukulia vyovyote upendavyo, lakini umekwisha tambua kilichopo kati yetu, wewe na mimi, na huyo mhujumu wa nchi yetu.
sina haja ya kukutambua zaidi ya kuona ni mtu mwenye uchovu na unaejilazimisha tu kuchangia kisicho na maana badala ya hoja mezani 🐒
 
sina haja ya kukutambua zaidi ya kuona ni mtu mwenye uchovu na unaejilazimisha tu kuchangia kisicho na maana badala ya hoja mezani 🐒
Sijasema "unitambue" hata 'comprehension' huna?
Huna hoja zozote upo hapa kwa kazi tu unayolipwa kuja kuifanya humu JF.
 
Sijasema "unitambue" hata 'comprehension' huna?
Huna hoja zozote upo hapa kwa kazi tu unayolipwa kuja kuifanya humu JF.
sina kazi maalumu na wala silipwi chochote na yeyote...
kodi , tozo na ushuru wewe , mimi na waTanzania wengine tunazotozwa, inanitosha naridhika na ujira huo kidogo ukilinganisha na uzito na ugumu wa dhamani niliyobeba....

Uzalendo wangu kwa Taifa langu unanipa nguvu na ujasiri Zaidi wa kufanya kazi kwa bidii bila kukata tamaa 🐒
 
Hela ya waarabu ndiyo inayokushindisha hapa kila siku, mkiuza nchi yetu, huku mkitusimanga wenyewe.
Wewe na huyo anayekuleta hapa ni wa haini wa taifa, hamna uzalendo wowote.
Historia ya nchi hii itawatambua hivyo mara mtakapo ondolewa kwa aibu. Msifikiri hela za waarabu zitaweza kuwanunua waTanzania.
 
Let me confirm to you without fear of contradictions,

Nape Nauye anazo akili, na January Makamba pia ana akili na wanasiasa makini na wenye maono ya mbali...

political upsidedown na mistakes katika siasa ni Jambo la kawada sana, na hilo halipaswi kua hitimisho la eti fulani hana akili....

Labda kuwe na chuki binafsi ndani yake 🐒

umesoma vizur My life My Purpose ya Hayati Benjamin Mkapa?🐒
Unamuaminisha nani kwamba mistake kwenye siasa ni jambo la kawaida hakuna jambo lolote la kawaida zaidi ya kukaa kiburi na ujinga uliowajaa vijana wachache na vilaza kama hao unaowatetea.
 
Rais Samia Suluhu Hassan, Rais na kipenzi cha waTanzania uongozini.

Mwenyezi Mungu azidi kukujaalia afya njema, bidii, ubunifu na nguvu tele katika kuongoza nchi yetu Tanzania..

Hamasa na ushawishi wako kwa vitendo baada ya kufanya mageuzi na mabadiliko kidogo katika uongozi wa Serikali yako kuu, waTanzania kwa mamilioni yao, wamekupongeza sana, na kukushukuru mno, kwani dhamira na nia yako njema ya kuwaletea wanainchi maendeleo imedhihirika bayana...

Hamasa ya kukupenda na kukuamini imeongezea mara dufu matarajio yao kwao ni makubwa mno kisiasa kijamii na kiuchumi..

Inafahamika, inaaminika na inaonekana tena mchana kweupeee, kila pembe ya nchi Dr.Samia Suluhu Hassan una pendwa na unakubalika bila kificho kwa maneno na matendo yako, katika kazi za maendeleo..

Hakiwezekani mtu aje aseme hadharani, ati hata kama hamumpendi huyo ndio Rais wenu, hiyo ni dharau kubwa sana japo kwa hekima na busara ulichelewa kuchukua hatu.

Lakini pia, Mh. Rais usiku na mchana uko kazini kuhakikisha taasisi zetu mathalani zinazohusu kusimamia chaguzi zinakua imara na zina aminika kwa wananchi, na kwamba hata chaguzi zetu zote zinaaminika zinakua huru, wazi na za haki na waTanzania wanahamasika kupiga kura.

Halafu mtu mwingine anakuja kudhoofisha jitihada hizi kubwa kirahisi tu, za mh.Rais kurejesha imani za waTanzania kwenye taasisi zao.. eti bao la mkono 🐒

Hapana, Hii si sawa na haipendezi. Kuna aina za matani tunapokua kazini ni hujuma. na dhamira yake ni kubomoa au kuidhoofisha kazi muhimu za Kuwaleta waTanzania pamoja na kuamininiana. madaraka ya kulevya ni ulevi mbaya sana🐒

waTanzania wako pamoja nawe mh.Rais Dr.Samia Suluhu Hassan.
Mungu Ibariki Tanzania

Pia soma
- Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Bado Bashe
 
Unamuaminisha nani kwamba mistake kwenye siasa ni jambo la kawaida hakuna jambo lolote la kawaida zaidi ya kukaa kiburi na ujinga uliowajaa vijana wachache na vilaza kama hao unaowatetea.
ukiwa mtulivu na kutaka kijifunza zaidi na kupata ufahamu na uelewa wa kutosha kuhusu masula haya ya siasa utajua nakueleza jambo la maana sana...

political dynamics ni pamoja na vifo ktk mamlaka, mistakes au blunders ..

kesho nakuja na makala kuhusu vijana na uongozi nifatilie inaweza kukusaidia 🐒
 
Nimekuelewa kiongozi ila tutambue sisi sote kwamba Yote haya tunayajadili kuhusu Nape na January kutumbuliwa chanzo chale ni kiburi na ujinga tu.
 
Back
Top Bottom