Kigera Kwetu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,448
- 1,311
Mbona kwenye mapungufu usemi?....... πunaelewa gentleman kwa siasa kuna kitu inaitwa political dynamics by mistakes, blunders or normal changes π
Rais JK huita ni ajali ya kisiasa, hasa kipindi kile hayati Lowasa amejiuzulu ..
so,
hakuna habari ya kusifia wala kuabudu hapa ni ukweli na uwazi bila mihememko, upende usipende π
so gentleman huoni hatua zinazochukuliwa dhidi ya wabadhirifu wa mali ya umma maeneo mbalimbali nchini?Mafisadi wepi aliochukulia hatua,acheni kutuchokoza.CAG kaibua mafisadi wangapi,many,lakini hakuna hatua yeyote inayochukuliwa.Ni upigaji tu sasa kila sehemu,shameful indeed.
You see how irrational you people are,Nape alichosema ni the truth and the whole truth,yeye kasema what we already knew,lakini eti kawajibishwa.So mlitaka wananchi wasijue uovu wenu,poleni,kila mtu kajua sasa,hata the unsuspecting.
We unadhani Nape aliyasema yale kwa bahati mbayaa??Nchi inapita kwenye wakat mgumu sana hii na kuna watu wanamwambia mama wataweza kumpambania lakon pressure n kubwa sana 2025Wananchi wana hasira ya 2019/2020 halafu waziri mmoja anakumbusha tena lwa kebehi anayoiita utani,hakumtendea haki Rais na 4R zake. Kilichotokea ni sahihi na wengine wemye mawazo ya wizi wa kura. awaonye,vyombo vya dola navyo vipewe maelezo,ili atakayeshinda ashinde atakayeshindwa ashindwe. Mungu yupo ni wa wote.
mapungufu yapi sisemi gentleman?πMbona kwenye mapungufu usemi?....... π
usimpotoshe mwenzio gentleman,We unadhani Nape aliyasema yale kwa bahati mbayaa??Nchi inapita kwenye wakat mgumu sana hii na kuna watu wanamwambia mama wataweza kumpambania lakon pressure n kubwa sana 2025
actually,π€£π€£ Tlaatlaah sisi tumefurahi tu ila sio kumpenda Wala kumshukuru Wala kumuamini usitusingizie mkuu tumekukosea nini?
Chimbuko la CCM ni jumuiya ya wazazi, chipkizi, uvccm halafu uwt na hatimae wana CCM wote πWale si tunawabeba na maroli mkuu.Alafu ni watoto tupu.Niliangakia Katavi ni vitoto vidogo under 18 viko hapo mmevipa na viti vikae.
Unachoulizwa na unachojibbu ni tofauti,Wacha tuhangaike na kazi za kuingiza kipato kuliko kupiga ngonjera na majuhaChimbuko la CCM ni jumuiya ya wazazi, chipkizi, uvccm halafu uwt na hatimae wana CCM wote π
gentleman,
ukiona vya elea vimeundwa hivyo π
kila la kheri gentleman,Unachoulizwa na unachojibbu ni tofauti,Wacha tuhangaike na kazi za kuingiza kipato kuliko kupiga ngonjera na majuha
Hahahaaa.sasa kama ni hivyo kwa nini utumie nguvu kubwa? na ukishakuwa rais unakuwa na kiburi na ufisadi juu?hua ni Neema na Baraka za Mungu ndani ya Mtu huyo zinamchochea kupenda kutumikia watu π
ni roho ya utumishi iliyopo ndani ya mtu...
kimekuconfuse kabisa gentleman π€£Ni mtu aliye pungukiwa kichwanipekee anayeweza kuandika kichwa cha mada kama kilicho tumiwa kwenye mada hii.
Ukinionyesha Uzi wako ukiwa unakemea hizo kauli nitakuamini. Vinginevyo wewe ni Chawa simama uhesabiwe.Rais Samia Suluhu Hassan, Rais na kipenzi cha waTanzania uongozini.
Mwenyezi Mungu azidi kukujaalia afya njema, bidii, ubunifu na nguvu tele katika kuongoza nchi yetu Tanzania..
Hamasa na ushawishi wako kwa vitendo baada ya kufanya mageuzi na mabadiliko kidogo katika uongozi wa Serikali yako kuu, waTanzania kwa mamilioni yao, wamekupongeza sana, na kukushukuru mno, kwani dhamira na nia yako njema ya kuwaletea wanainchi maendeleo imedhihirika bayana...
Hamasa ya kukupenda na kukuamini imeongezea mara dufu matarajio yao kwao ni makubwa mno kisiasa kijamii na kiuchumi..
Inafahamika, inaaminika na inaonekana tena mchana kweupeee, kila pembe ya nchi Dr.Samia Suluhu Hassan una pendwa na unakubalika bila kificho kwa maneno na matendo yako, katika kazi za maendeleo..
Hakiwezekani mtu aje aseme hadharani, ati hata kama hamumpendi huyo ndio Rais wenu, hiyo ni dharau kubwa sana japo kwa hekima na busara ulichelewa kuchukua hatu.
Lakini pia, Mh. Rais usiku na mchana uko kazini kuhakikisha taasisi zetu mathalani zinazohusu kusimamia chaguzi zinakua imara na zina aminika kwa wananchi, na kwamba hata chaguzi zetu zote zinaaminika zinakua huru, wazi na za haki na waTanzania wanahamasika kupiga kura.
Halafu mtu mwingine anakuja kudhoofisha jitihada hizi kubwa kirahisi tu, za mh.Rais kurejesha imani za waTanzania kwenye taasisi zao.. eti bao la mkono π
Hapana, Hii si sawa na haipendezi. Kuna aina za matani tunapokua kazini ni hujuma. na dhamira yake ni kubomoa au kuidhoofisha kazi muhimu za Kuwaleta waTanzania pamoja na kuamininiana. madaraka ya kulevya ni ulevi mbaya sanaπ
waTanzania wako pamoja nawe mh.Rais Dr.Samia Suluhu Hassan.
Mungu Ibariki Tanzania
Pia soma
- Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Dah!kimekuconfuse kabisa gentleman π€£
pole sana aise hiyo ndio tabia ya Ukweli kwa wasioupenda
ni mchungu halafu unakera π€£
Saa100mbovuView attachment 3048623
Niambien kabaki nani
hayo ni maoni na mtazamo binafsi wa mtu kwenye uwanda wa uhuru, haki na usawa katika kutoa maoni πHahahaaa.sasa kama ni hivyo kwa nini utumie nguvu kubwa? na ukishakuwa rais unakuwa na kiburi na ufisadi juu?
anae tapatapa ni nani sasa gentleman?πDah!
Sijui nikueleze vipi uweze kuelewa. Haya ya sasa ni ya kutapatapa, kama mfa maji.