Asante sana Rais Samia kwa mabadiliko haya madogo ya uongozi katika Serikali Kuu, watanzania wote wamekupenda zaidi, wanakushukuru na kukuamini zaidi

Ukinionyesha Uzi wako ukiwa unakemea hizo kauli nitakuamini. Vinginevyo wewe ni Chawa simama uhesabiwe.
gentleman,
kwanza kabisa uelewe ya kwamba mimi sibabaiki kuitwa jina lolote ila langu hata ukija jimboni ulizia Tlaatlaah tu utanipata kirahisi sana πŸ’

Jambo la pili,
mimi na waTanzania kwa mamilioni yao tulimkosoa sana Dr Samia Suluhu Hassan na hata akakubali kuruhusu mikutano ya kisiasa nchini..

lakini pia tulimkosoa sana na tukamshauri aunde kikosi kazi kucheki dosari na kasoro katika uchaguzi naTume Huru ya Uchaguzi vitu ambavyo vimefanyiwa kazi na vinginevyo viko kwenye hatua mbalimbali mathalani suala la katiba mpya ambalo baada ya Uchaguzi mkuu ujao 2026 litatolewa uelekeo πŸ’

hayo ni kwa uchache tu kwa nje
 
anae tapatapa ni nani sasa gentleman?πŸ’

Dr Samia Suluhu Hassan yupo kazini na amebeba imani, matumaini upendo na matarajio ya wanainchi waTanzania mpaka 2030, bila mbambamba yoyote πŸ’
Kwanza siyo 'Dr'; ondoa uchafu huo kwanza kabla hujaeleza chochote juu yake.
Hayo mengine sijibu kwa sababu hayana maana yoyote.
 
CCM kwenyewe kunafukuta afu unasema eti watanzania wote.

Futa kauli, omba msamaha.
 
Kwanza siyo 'Dr'; ondoa uchafu huo kwanza kabla hujaeleza chochote juu yake.
Hayo mengine sijibu kwa sababu hayana maana yoyote.
sasa si uendelelee na majukumu mengine gentleman, unababaika nini sasa na mihememko na ghadhabu zako, si uwapatie fursa watu wenye hakima na busara zao niwapatie ufafanuzi mujara kwa maswali na hoja wanazoibua dhidi ya andiko langu πŸ’

kua muungwana kidogo bas, ukichoka unapumzika tu.

Dr.Samia Suluhu Hassan ataendelea kubeba matumaini ya waTanzania hadi 2030, kwan kuna ubaya gani πŸ’
 
CCM kwenyewe kunafukuta afu unasema eti watanzania wote.

Futa kauli, omba msamaha.
labla unaizungumzia kile Chama Cha Mashinani (CCM) cha kule Kenya chini ya Isaac Ruto, right ?πŸ’
 
Attachments

  • download.jpeg
    17.8 KB · Views: 0
  • download.jpeg
    17.8 KB · Views: 0
Bado huelewi?
Nilisha kwambia toka punde, nikishaona tu takataka zako hapa, nina wajibu wa kuzishughulikia kwa faida ya taifa letu. Usifikiri nilikuwa natania.
Upo hapa kwa kazi maalum ya kuidhalilisha nchi yetu na watu wake, nami nimejitoa mbele kuipigania Tanzania yetu kuwakabili mawakala nyinyi wa waarabu.
 
sema umejitoa ufahamu lakini sio unakuja hapa kuwakaseha watu fursa za kujua na kuelewa hali ya siasa nchini,
pumzika huko πŸ’
 
sema umejitoa ufahamu lakini sio unakuja hapa kuwakaseha watu fursa za kujua na kuelewa hali ya siasa nchini,
pumzika huko πŸ’
Chukulia vyovyote upendavyo, lakini umekwisha tambua kilichopo kati yetu, wewe na mimi, na huyo mhujumu wa nchi yetu.
 
KWA MARA KWA KWANZA RAIS SAMIA NAKUITA MAMA
BADO BASHE NA NCHBA
nina fursa na wajibu mzito na muhimu katika nchi hii,

ningekua verified,
kamwe nisingeweza kupata fursa ya engagements na koment za furaha kama hizi lakini matarajio ya furaha zaidi kama uliyopendekeza yatatimia, aise nyie raia ni moto 🀣
 
Chukulia vyovyote upendavyo, lakini umekwisha tambua kilichopo kati yetu, wewe na mimi, na huyo mhujumu wa nchi yetu.
sina haja ya kukutambua zaidi ya kuona ni mtu mwenye uchovu na unaejilazimisha tu kuchangia kisicho na maana badala ya hoja mezani πŸ’
 
sina haja ya kukutambua zaidi ya kuona ni mtu mwenye uchovu na unaejilazimisha tu kuchangia kisicho na maana badala ya hoja mezani πŸ’
Sijasema "unitambue" hata 'comprehension' huna?
Huna hoja zozote upo hapa kwa kazi tu unayolipwa kuja kuifanya humu JF.
 
Sijasema "unitambue" hata 'comprehension' huna?
Huna hoja zozote upo hapa kwa kazi tu unayolipwa kuja kuifanya humu JF.
sina kazi maalumu na wala silipwi chochote na yeyote...
kodi , tozo na ushuru wewe , mimi na waTanzania wengine tunazotozwa, inanitosha naridhika na ujira huo kidogo ukilinganisha na uzito na ugumu wa dhamani niliyobeba....

Uzalendo wangu kwa Taifa langu unanipa nguvu na ujasiri Zaidi wa kufanya kazi kwa bidii bila kukata tamaa πŸ’
 
Hela ya waarabu ndiyo inayokushindisha hapa kila siku, mkiuza nchi yetu, huku mkitusimanga wenyewe.
Wewe na huyo anayekuleta hapa ni wa haini wa taifa, hamna uzalendo wowote.
Historia ya nchi hii itawatambua hivyo mara mtakapo ondolewa kwa aibu. Msifikiri hela za waarabu zitaweza kuwanunua waTanzania.
 
Unamuaminisha nani kwamba mistake kwenye siasa ni jambo la kawaida hakuna jambo lolote la kawaida zaidi ya kukaa kiburi na ujinga uliowajaa vijana wachache na vilaza kama hao unaowatetea.
 
Bado Bashe
 
Unamuaminisha nani kwamba mistake kwenye siasa ni jambo la kawaida hakuna jambo lolote la kawaida zaidi ya kukaa kiburi na ujinga uliowajaa vijana wachache na vilaza kama hao unaowatetea.
ukiwa mtulivu na kutaka kijifunza zaidi na kupata ufahamu na uelewa wa kutosha kuhusu masula haya ya siasa utajua nakueleza jambo la maana sana...

political dynamics ni pamoja na vifo ktk mamlaka, mistakes au blunders ..

kesho nakuja na makala kuhusu vijana na uongozi nifatilie inaweza kukusaidia πŸ’
 
Nimekuelewa kiongozi ila tutambue sisi sote kwamba Yote haya tunayajadili kuhusu Nape na January kutumbuliwa chanzo chale ni kiburi na ujinga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…