Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Sasa ndani ya mwaka mmoja wewe huoni kuwa Samia kaupiga mwingi kuongeza bei ya soda kwa 40%Kila kitu nyie lawama tu
Kwanza ina more sugar Ila watotoHii tuichujulie positive.
Nasi tupunguze au tuache kabisa kunywa Soda maana sio nzuri kiafya.
Katiba inamlinda ndio maana anajeuriRais wetu anazunguka tu huko duniani wala hajali yanayoendelea nchini.
Hata mfe mia yeye mradi anasaini mikataba na wazungu hakuna tatizo.
Kuna kipind ikifka 600 ikakosaAfrika vijana wa hovyo sana nashangaa watu wanakuponda mfumuko wa bei n mbaya na unashusha thaman pesa yaan bora ingekua hata 550 atleast
Uko sawa, tangu soda zipande kufika 600 nimebadi ratibaHii tuichujulie positive.
Nasi tupunguze au tuache kabisa kunywa Soda maana sio nzuri kiafya.
Kama bado umri huo unashobokea soda licha ya awareness zote zinazoeleza athari yake, basi wewe nawe unatakiwa kuitwa Matatizo!!!Soda ambayo kipindi kifupi kilichopita tuliuziwa sh. 500 sasa ni sh. 700.
Kwa hesabu za harakahara hapa kuna ongezeko la sh. 200 ambayo ni asilimia 40% ya sh. 500.
Ni kweli production costs zimeongezeka kwa 40% au ni mwanya tu wajanja wanautumia kutengeneza fedha watoto wao wapelekwe chekechea za Kiingereza bila maumivu?
Nilichogundua hawa wenye maduka sometimes wanapandisha bei lakin haiendani na uhalisia kabisa .kama wanajipangia tu hizi soda kitambo ni 600 mtaaniSoda ambayo kipindi kifupi kilichopita tuliuziwa sh. 500 sasa ni sh. 700.