๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃSasa itakuwaje jamaa yangu kuhusu waarabu wa humu jamii forum? Wameshirikishwa!!!?
Hana uwezo wa kukaa Gaza, we endeleza kanga zako za kila siku.๐ฎ๐ฑ Ofisi ya Waziri Mkuu:
Baraza la Mawaziri la Usalama limeidhinisha pendekezo la Waziri Mkuu la kushindwa kwa Hamas.
IDF itajiandaa kuchukua udhibiti wa Jiji la Gaza huku ikitoa misaada ya kibinadamu kwa raia walio nje ya maeneo ya mapigano.
Baraza la Mawaziri, kwa kura nyingi, lilipitisha kanuni tano za kumaliza vita:
1. Kupokonywa silaha kwa Hamas.
2. Kurudi kwa mateka wote - walio hai na waliokufa.
3. Kuondolewa kijeshi Ukanda wa Gaza.
4. Udhibiti wa usalama wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
5. Kuanzishwa kwa utawala mbadala wa kiraia ambao si Hamas wala Mamlaka ya Palestina.
Mawaziri wengi sana wa Baraza la Mawaziri waliamini kwamba mpango mbadala uliowasilishwa kwa Baraza la Mawaziri haungefanikisha kushindwa kwa Hamas wala kurejea kwa mateka.
Endelea kubwabwaja tu lakini cha moto magaidi wamekipata!!!Hata operation Gideon ulikuja Kwa mbwembwe matokeo yake kila mtu ameyaona.. Sasa na hii imekuja Kwa Tambo eti kurudisha mateka walio hai na walio kufa hakuna mateka hai atarudi huo msamiati haipo Kwa Hamas! Subiri uone hii mbungi Italia na kesho mtakuja na msemo mwingine
๐ฎ๐ฑ Ofisi ya Waziri Mkuu:
Baraza la Mawaziri la Usalama limeidhinisha pendekezo la Waziri Mkuu la kushindwa kwa Hamas.
IDF itajiandaa kuchukua udhibiti wa Jiji la Gaza huku ikitoa misaada ya kibinadamu kwa raia walio nje ya maeneo ya mapigano.
Baraza la Mawaziri, kwa kura nyingi, lilipitisha kanuni tano za kumaliza vita:
1. Kupokonywa silaha kwa Hamas.
2. Kurudi kwa mateka wote - walio hai na waliokufa.
3. Kuondolewa kijeshi Ukanda wa Gaza.
4. Udhibiti wa usalama wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
5. Kuanzishwa kwa utawala mbadala wa kiraia ambao si Hamas wala Mamlaka ya Palestina.
Mawaziri wengi sana wa Baraza la Mawaziri waliamini kwamba mpango mbadala uliowasilishwa kwa Baraza la Mawaziri haungefanikisha kushindwa kwa Hamas wala kurejea kwa mateka.
Je palestina bila Allah na Mudi... ๐๐๐ฟ๐๐๐๐Hivi Israel bila USA na ulaya km ujerumani. Uingereza nk wangekuwa na hali gani hadi sasa. Kakikundi kadogo kanachangiwa na mataifa kibao lakini ngoma bado nzito.
Nentenyau asitegemee urahisi wa kuikalia Gaza.
By the way, Iran imeomba tena ligi ila Israel imegoma.
Endelea kujitoa ufahamu tu lakini kumbuka Israel ni vidume huko Mashariki ya kati mpaka huko Iran.Hivi Israel bila USA na ulaya km ujerumani. Uingereza nk wangekuwa na hali gani hadi sasa. Kakikundi kadogo kanachangiwa na mataifa kibao lakini ngoma bado nzito.
Nentenyau asitegemee urahisi wa kuikalia Gaza.
By the way, Iran imeomba tena ligi ila Israel imegoma.
Itakusaidia nini wewe mtanzania?๐ฎ๐ฑ Ofisi ya Waziri Mkuu:
Baraza la Mawaziri la Usalama limeidhinisha pendekezo la Waziri Mkuu la kushindwa kwa Hamas.
IDF itajiandaa kuchukua udhibiti wa Jiji la Gaza huku ikitoa misaada ya kibinadamu kwa raia walio nje ya maeneo ya mapigano.
Baraza la Mawaziri, kwa kura nyingi, lilipitisha kanuni tano za kumaliza vita:
1. Kupokonywa silaha kwa Hamas.
2. Kurudi kwa mateka wote - walio hai na waliokufa.
3. Kuondolewa kijeshi Ukanda wa Gaza.
4. Udhibiti wa usalama wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
5. Kuanzishwa kwa utawala mbadala wa kiraia ambao si Hamas wala Mamlaka ya Palestina.
Mawaziri wengi sana wa Baraza la Mawaziri waliamini kwamba mpango mbadala uliowasilishwa kwa Baraza la Mawaziri haungefanikisha kushindwa kwa Hamas wala kurejea kwa mateka.
Kupinga unyanyasaji ni ugaidiResistance hata Mungu anayo Shetani anampa Upinzani hata Tanzania ipo na kwenye Familia yako ipo tu cha msingi ni Magaidi huko Gaza wataondolewa kwa fimbo ya Chuma!!
Wewe ndo hujui. Ebu chukulia tu mfano kichotokea kati ya Iran na Israel tena kwak usaidiwa logistically na USA. Hivi si Israel ndo aliamua USA kuingia full Iran kumsaidia au wewe unaongea kishaabiki tu. Hivi Israel akisimama peke yake atampiga nani. Mbona wameshindwa kupata MATEKA wao hadi leo. Na Wahouth nao wanajipigia kadri wanavyotaka.Endelea kujitoa ufahamu tu lakini kumbuka Israel ni vidume huko Mashariki ya kati mpaka huko Iran.
Wafuga Midevu na Majini wanajitahidi sana kuleta maneno ya kujifariji na kujipa moyo kwa kisingizio eti Israel inasaidiwa na Marekani utafikiri wa hawasaidiwi na nchi zinazounga mkono Ugaidi
Kwaiyo walijiskia tu kurusha tu hawana sababu yoyoteToka lini kufanya mauaji ya kutisha inaitwa kupinha unyanyasaji? Hamas ni magaidi na ndiyo maana walifanya mauaji ya kutisha Oct 07,2023!,