Ingawa kuna tofauti kati ya ushabiki na kujitoa akili, lakini huku ni kukosa akili.Baada ya klabu ya Yanga kufika hatua ya fainali katika michuano ya kombe la shirikisho, ligi kuu Tanzania bara itapeleka timu nne(4)
katika misimu miwili mfululizo ambapo mbili ligi ya mabingwa na 2 kombe la shirikisho.
Makolo tumewasidia kubakia champions ligue......la sivyo CAF confederation ingewasubiri
#FutbalPlanetUpdatesView attachment 2640432
Baada ya klabu ya Yanga kufika hatua ya fainali katika michuano ya kombe la shirikisho, ligi kuu Tanzania bara itapeleka timu nne(4)
ya mashindano gani? πππRobo fainali si kitu ..... issue ni kufika fainali
Huku sio kuwatoa mapovu, bali kujifariji baada ya jambo la Waarabu πππSafi sana mtoa mada πππππ
Huu ni mwaka wa kuwatoa mapovu tu makolo hadi gesi yote iishe.
Hapana sio kifurushi, ila naona dish la mleta mada limeyumbaWeka kifurushi kabisa mkuu ....Yanga wataenda kupindua meza kibabe
Confederation cup kulikuwa kugumu sana .... kumbuka timu jamii ya vipers, horoya, big bullets hazikuwepo....ya mashindano gani? [emoji16][emoji16][emoji16]
Jamani tusione aibu, tuwe tunataja hatua na mashindano yake! [emoji16][emoji16][emoji16]
Na hao Vipers waliwaondoa Mazembe CL, Mazembe wakaenda kukutana na Yanga walioondolewa CL πππConfederation cup kulikuwa kugumu sana .... kumbuka timu jamii ya vipers, horoya, big bullets hazikuwepo....
Huku unakutana na magiant kina mazembe, manastir ( waarabu). Pyramid, rabbat nk
Confederation cup kulikuwa kugumu sana .... kumbuka timu jamii ya vipers