Asanteni JF kwa ushauri, tayari nimepata gari

Maana, hiyo 22mil ni bei yakwenda kununulia yard ( showrrom ) bila shaka!
Lakini, sio mbaya, kila kitu ni kujifunza

Muhimu ;

Azingatie care ya gari, Dualis hazitaki gadhabu , maana sio corolla ile!
Kweli mkuu. Ninaamini anayo hela kutunza hiyo gari.
 
Hongera sana mkuu
 
Hiyo experience yako ulipaswa uiandike mdau alipo omba ushauri.
Sasa mdau amekuja kushukuru alafu nawewe ndio unaleta ujuaji usio na tija eti kapigwa.... hapo hela sio zako naona umeshindwa kuzuwia hisia zako..teh😜
Leo wewe umeamka vibaya. Sikuona Uzi wake wa kuonba ushauri na sijaona kwanini nisiandike uzoefu wangu.

Next time atakuwa makini zaidi na hata watu wengine.
 
Nissan dualis zinatoka sana, wabongo tuache kuigana, itakuwa kama ist & harrier soon tu.
 
Ndio mkuu, wana jf wapunguze wivu na ujuaji usio na tija.
Yaani ulipo omba ushauri hawakusema na leo umeleta ndinga ndipo wanajifanya kukosoa...ptuuuu
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…